Hi every one:)

si tunakukaribisha au?, kutuma PM ushajua lakini mgeni wetu?

shukuru Mungu nina hii signature hahahaha lol
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
karibu sana mkuu afro,,jitahidi mara moja moja kwenda nami mlimani

hahahah lol
jamani jamani acheni uchokozi basi lol
hahhaah lol

Mohammed ndo alienda kuotoa hii poster huko ilisha poteaga hahah lol
 
ukipata matatizo yoyote katika utumiaji wa mtandao huu wa JF usisite kuwasiliana na mimi au invizibo. huyo hapo juu ndio wiselady anatokea jukwaa la MMU.

karib tena mgeni wetu
 
hahahaha lol
mgeni gani kafikisha poster 5000 leo hahahah lol
 
mtoto hata ukimvalisha suti anabaki kuwa mtoto tu. wewe ni mgeni wetu tu bana acha tukukirimu. lol

hahahahah lol
haya bwana yaishe
sasa nasubiria super sixteen ile mbaya hahah lol
ili msinionee tena lol
 
hahahah lol
jamani jamani acheni uchokozi basi lol
hahhaah lol

Mohammed ndo alienda kuotoa hii poster huko ilisha poteaga hahah lol

he he he!ndo naipata leo tena saa hii!hivi kumkaribisha mtu kumbe ni uchokozi eee?wapi dawa ya malaria klorokwin anifafanulie?!so strange!narudia tena karibu swithat afro
 
haka ka mgeni ketu katukutu kweli aisee! tunakakaribisha yeye kanatuimbia mipasho
 
hahahahh lol
namie nakuaga for good..
tutaonana Mungu akipenda my dear
nilindie TF wangu angalia asipate shida lol
sintokuwepo hapa kuanzia kesho lol
 
ukipata matatizo yoyote katika utumiaji wa mtandao huu wa JF usisite kuwasiliana na mimi au invizibo. huyo hapo juu ndio wiselady anatokea jukwaa la MMU.

karib tena mgeni wetu

hahaha!hebu niachie mbavu!akuone ww au invii!cheo chako ni kipi tena?afu klorokwin mi natokea jukwaa la dini rekebisha hapo kidooooogo,,lol
 
dah! sorry skujuwa kama umekuwa Mrs jukwaa la Maxshimba, cheo nakuwa staji hazarani waswahili wataloga.
 
haka ka mgeni ketu katukutu kweli aisee! tunakakaribisha yeye kanatuimbia mipasho

sijawahi ona kageni kama haka,,twende nako taratibu tu maana kameshakuwa ketu kukafukuza hatuwezi si ni wakarimu bana,,au anataka shairi nn?
 
nishamuwekea shairi liko pending, nasubiria wapigane kibuti na TF tu nililembee hewani.
 
hahahahh lol
namie nakuaga for good..
tutaonana Mungu akipenda my dear
nilindie TF wangu angalia asipate shida lol
sintokuwepo hapa kuanzia kesho lol

jamani ntakumissssss mbaya,hebu niambie hapa waondoka saa ngapi?au tuchat ile midnight yetu coz hapa natafuta mvinyo wa church,,nasononeka ujue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom