Hi All,

Mpwa unaniangusha hebu ulizia lile swali la muhimu mods walilosahau kuliweka.

Jina ni KATT huyu ni mchekeshaji maarufu wa stand up commedy so nilihisi huyu ni HE NGOJA NI MUULIZE ANAYWAY.
 
Ziondaughter

Jina lako limekuwa bold hongera sana naona ile azma ya wapwa wote kuwa premium by the end of desember umeifanyia kazi, mumeo yuko wapi?
 
are u he she? Are u pusycat or dog?

Bwana Nguli, ushasikia he is a PIMP! Unauliza kama ni she or he! Ma man KATT that's an insult to a PIMP, straight pimping!

You can't ask a PIMP his status (he/she)
 
Ziondaughter

Jina lako limekuwa bold hongera sana naona ile azma ya wapwa wote kuwa premium by the end of desember umeifanyia kazi, mumeo yuko wapi?
Heheheheee,shem bwana! asante. Nategemea wapwa wote mtakuwa Premium bila kuchelewa,u cant believe ni kitendo cha kuamua tu dakika tano ni nyingi.
My love bwana nimemficha kidogo,naona akina Semenya wanamnyemelea na mimi nilimwambia kaunta apunguze ajiunge na wewe gym lakini alikuwa mbishi.Nimeona nimpe adhabu kidogo ya kumfungia ndani.
 
Si umkaribishe basi jamani? ukarimu gani huu kwa wageni.

binamu unaniabisha mbele ya mgeni si ungeniita chemba lol..haya ngoja nijirekebishe.. karibu katt najua tutaenjoy presence yako hapa mpwa xspin akirudi atakuonesha mazingira hapa pengine na formal invitation kwa wapwa itafuata.
 
Wakuu mambo Vipi,

KATT hapa na wasalimu wote natehgemea ushirikiano mzuri na wana JF wote.

Thanks a lot.

Hhhhhfffffffffffffffffffhhh....huh....

I sniff PokoPoko around here!

Check-out Katt...Usikubali kutumika(usiwe Pandikizi au Wakala)...Be your own...Be your Master...Be your age!..bUT STICK TO JF Rules and regulations!...Thats all as you pop inside here!...I mean it, and iam serious!
 
binamu unaniabisha mbele ya mgeni si ungeniita chemba lol..haya ngoja nijirekebishe.. karibu katt najua tutaenjoy presence yako hapa mpwa xspin akirudi atakuonesha mazingira hapa pengine na formal invitation kwa wapwa itafuata.

Sorry binamu,si unajua mfupa hauna ulimi,sometimes inatokea tu.Lakini amesema ni HE.
 
Heheheheee,shem bwana! asante. Nategemea wapwa wote mtakuwa Premium bila kuchelewa,u cant believe ni kitendo cha kuamua tu dakika tano ni nyingi.
My love bwana nimemficha kidogo,naona akina Semenya wanamnyemelea na mimi nilimwambia kaunta apunguze ajiunge na wewe gym lakini alikuwa mbishi.Nimeona nimpe adhabu kidogo ya kumfungia ndani.

Shem kweli mapenzi unayajua kitambi hakilipi naona cha mumeo kinagusa ardhi shauri ya matusker.
 
Hhhhhfffffffffffffffffffhhh....huh....

I sniff PokoPoko around here!

Check-out Katt...Usikubali kutumika(usiwe Pandikizi au Wakala)...Be your own...Be your Master...Be your age!..bUT STICK TO JF Rules and regulations!...Thats all as you pop inside here!...I mean it, and iam serious!

Japo umemwambia Katt lakin iam curious! what do you mean if you will not mind.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom