Hey Y'all!

Hey all jamni mimi ni mgeni pia naomba msaada ni jinsi gani nitatuma post?? nitashkuru kwa msaada wenu
 
Hey all jamni mimi ni mgeni pia naomba msaada ni jinsi gani nitatuma post?? nitashkuru kwa msaada wenu

Fungua ukumbi unaopendelea kama ni siasa au biashara au utani nk. kisha juu kushoto utaona tab ya blue na maandishi meupe inasomeka New Thread bofya hiyo kisha jimwage inajieleza vizuri.

Pia karibu sana jamvini.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom