Hey niliingia ka mwizi ss najitambulisha

call me

Member
Jun 13, 2012
5
1
Habari wandugu nimekuwa nikivinjari JF kwa muda mrefu ss, nimeona ni utoto kuendelea kuvinjari jmvini pasipo kujiunga na wanafamilia,leo najitambulisha rasmi kwenu naomba mnipokee kwa mikono miwili na kwa moyo mkunjuuuufffuuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom