Hey guyz

saidah

New Member
Jul 17, 2012
1
0
My cousin anasumbuliwa na tatizo la kusweat kupita kiasi kwapani iwe joto au baridi ..sasa nimesikia kuna deodorant ya driclor but cjui kwa hapa tz zinapatikana wapi....??? I nid ur help guyz...
 
Any deodorant (roll-on) can assist,sina uhakika na stick deodorants kwani nilishawahi kuzitumia nikagundua nina sweat sana ingawa haikuwa kawaida yangu ku-sweat vile.CAUTION deodorants za kichina hazina mpango wowote ingawa sijafanya research nimeshatumia mbili nikagundua hazi fanyi kazi vizuri.
 
Back
Top Bottom