Hewa chafu hadharani!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani kuna watu wengine awana hata shbira wala msamaha
waanakuta gari imejaa gafula wanasubiri mlango uemefunga unasikia hewa nzito inapishana kwenye wwatu wengi basi shida tupu hewa hiyo inaposambaa utasema tunapita dampo la tabata enzi hizo...basi jamani
ukijisikia hali ama shida imekuzidi basi jaribu kukibana hata kidogo ama angalie usalama wa watu wa ndani kwanza wengi wana safoketi kama luga yetu inavyosema...wakiwa wachache hata kelele iachie lakini limejaa hapo hapo waliachia best..mmh hapana tupunguze kasi!!!!!!

upande wa MDK MTATUSAIDIAJE HILI SWAALA LA HEWA CHAFU!!!
 
Wengi - hasa wale waliokaa nchi za nje - wanawaiga wazungu! Halafu si ajabu wengine walishaharibiwa misuli ya huko kwa hiyo kujibana kunakuwa hakuwezekani. Kumbe kuna mawili: maadili na maumbile ya mtu.
 
wengi - hasa wale waliokaa nchi za nje - wanawaiga wazungu! Halafu si ajabu wengine walishaharibiwa misuli ya huko kwa hiyo kujibana kunakuwa hakuwezekani. Kumbe kuna mawili: Maadili na maumbile ya mtu.

aisee yaani kama sio dk ;
basi kwenu kuna asili hata ya uganga wa kienyeji ujijui...
Ur so bright
 
Wengi - hasa wale waliokaa nchi za nje - wanawaiga wazungu! Halafu si ajabu wengine walishaharibiwa misuli ya huko kwa hiyo kujibana kunakuwa hakuwezekani. Kumbe kuna mawili: maadili na maumbile ya mtu.
mmh kwa swala hili mimi hapa ni victim,mama hapa huwa anayaachia mashuzi km vile tuko baghdad,ukimuuliza ndio kwaáanza. anakuuliza:D nini cha ajabu?we hujambi?basi nshajizoelea siku hizi asipojamba mara mbili kwasiku namkumbusha maana nahisi labda anaumwa,lakini safi tunapendana kwel kwel.:D
 
kwa nini hujibane, unataka kuziacha gesi tumboni za nini? acha nature ichukue mkondo wake, maana sometimes ukiachia kitu unapata relief nzuri tu
 
Hewa chafu unazungumzia kujamba?
Kama kujamba mtu si anapumua au ni kosa kujamba hadharani mama Mia? wewe wakikuziba pua hiyo utaweza kupumua?
 
Hili swala ni tatizo kwa sisi waTZ lakini nchi zingine kujamba ruksa tu tena hata mbele ya mkweo. Ni kwa nini imeonekana kujamba ni jambo la aibu kwetu watanzania mimi sijui chanzo chake hasa ni nini, lakini napenda waTZ tuendelee na utaratibu wetu wa kutojamba hovyo na hadharani.
 
Mie wangu nikitoa hewa chafu ananipa polee mpenzi nikiwa karibu
napigwa hadi busu jamani!!!sasa sijui anashindwa kuniambia

"""""tena""""ama ananingonga....
 
Ofisini kwetu usipojamba basi ****** bosi akumbuki ile refreshner mpaka utoe hewa mbele yake......so kwa wengine zinatusaidia..jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom