Heslb yatoa siku 21 tu....

Fuatilia Madame KH, kusanya rekodi zako zote za kuwaonyesha kwamba huna deni nao au siku za usoni wanaweza kabisa kukuadhiri. Nimeliona jina la Madame KH :):)

BAK,
Najitahidi kufuatilia...Asante. Umeliona eeh...:) Nakuambia hawa wananifanya mimi nionekane tapeli..sio haki kabisa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Heslb hawapo makini, hawawajui wadaiwa wao, badala yake, wamechukua majina ya wanafunzi karibu yote ya wale waliosoma katika vyuo mbalimbali kwa miaka husika na kuwaweka katika matangazo; huenda labda ndiyo wanawatafuta wadeni wao, mimi nimemaliza deni langu tangu September 2010. lakini cha kushangaza nipo katika lisit. pia kuna watu ambao nawajua wamemaliza kulipa au wanaendelea kulipa lakini wapo katika lists. Wana- JF advice us, steps to be taken to Heslb for disclosing our name sas loan defaulters while we have already repaid our loans.

tafuta mwanasheria mzuri wafungulie kesi hawa wakulipe mamilioni naniliu kabisa hawa.wamejichanganya kweli.watu tunalipa kodi ya ajabu ambayo tunakwatwa kwenye mishahara lkn bado tu wanataka tulipe ni madeni ya ajabu ajabu.kazini kwetu walikuja mwajiri akawaambia kama mtu akiajiriwa sasa hivi tutamweleza kuwa ana deni Heslb na tutakuwa tunamkata kila mwezi but kwa watu waliokwisha ajiriwa siwezi kuwakata,mlikuwa wapi miaka yote??akawatimua.alisema serikali lazima iwe na utaratibu mzuri wa kuwapata watu wake.yaani kwa issue sensitive kama ya mkopo iweje serikali haikukeep record ya wadaiwa??na me niliona mwajiri anazungumza ukweli.watajibeba nakwambia
 
Back
Top Bottom