HESLB wapewa wiki mbili kuhakiki waliokosa mkopo

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Katibu mkuu wa wizara ya Elimu amewaagiza bodi ya mikopo kupitia upya wale waliokosa mkopo na walopata mkopo ila haki itendeke kwa kila mmojawajo.
My take:
Wanafunzi zaidi ya 800 inasemekana wamekosea kujaza form za mikopo ndio maana wakakosa mkopo. Wana JF ni kwanini bodi ya mikopo haikuwapa taharifa hao wanafunzi kabla ila warekebishe makosa hayo pia je bodi wameweka fungu la hao wanafunzi 800 endapo wakikamilisha kujaza izo fomu za bodi. Pia natatizwa na wale walioambiwa NO PRIORITY hivi kweli HESLB NA TCU wakati wa kuapply vyuo mbona hakukua na kozi zilizoandikwa NO PRIORITY ila wameshachaguliwa uku ukiwa na uwakika wa mkopo leo Heslb inakurupuka na kusema No Priority.
Nawasilisha

Upuuzi sana - mtu anakwenda somea udaktari anaandikiwa "SCIENCE - NO LOAN". Nchi hii watu wanafanya kazi huku wakiwa "wamevuta bangi" sijui?? MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA WANANCHI WAKE NA SIO VIONGOZI WAKE.

acha kusingizia bangi.

Upuuzi sana - mtu anakwenda somea udaktari anaandikiwa "SCIENCE - NO LOAN". Nchi hii watu wanafanya kazi huku wakiwa "wamevuta bangi" sijui?? MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA WANANCHI WAKE NA SIO VIONGOZI WAKE.

Ninachofikiria kuna mchezo mchafu umechezeka kati ta TCU na HESLB ndio maana mwaka huu wamekuja kivingine kabisa kwani kuna madogo hawana vigezo vya kupata mkopo ila mmojawapo alikuwa anasema mimi nimechaguliwa chuo pia ninamkopo kabla ya TCU NA HESLB hawajatoa wanafunzi waliochaguliwa kwenda chuo na pindi walipotoa ni kweli amechaguliwa chuo alichosema na kapata mkopo. Kwa staili hii sijui tunaelekea wapi wenye haki kanyimwa kapewa asiyestaili.

Wautumie muda waliopewa kwa umakini mkubwa ili kuepusha Vurugu za Maandamano na watende haki pia, kwani hatutaki majibu ya kipindi kile ya wazazi wasio na watoto.

Wautumie muda waliopewa kwa umakini mkubwa ili kuepusha Vurugu za Maandamano na watende haki pia, kwani hatutaki majibu ya kipindi kile ya wazazi wasio na watoto.

Kweli kabisa!!
Wote huu ni usanii ambao Nyerere aliukataa baada ya kuleta mfarakano kati ya maKabwela na wale wenye nacho waliopata msamaha wa kulipa karo ya watoto wao sekondari wakati wale wa makabwela wakinyimwa misamaha - wakati huo pia ulikuwepo usanii huu wa kujaza jaza mijifomu ya msamaha wa kulipa karo sekondari. Mfumo kama huu hauwezi kuwa fair.

Kama CDM wanaona upo uwezekano wa kusomesha vijana bila kulipia kwa nini serikali hii "SIKIVU" isiwakopeshe wanafunzi wote vyuo vikuu ili baada ya kujiajiri / kuajiriwa waweze rejesha mkopo. Mtu asiniambie upuuzi wa SERIKALI HAINA HELA - let it cough it out.

sirikale hii ina pesa nying ming cha mcng wa2rekebshie cheda e2 then 2angalie wat nxt...

mi nadhan JK hana taarifa khs mikopo ya mwaka huu jinsi ilivyotolewa , pengine angetoa tamko.

mi nadhan JK hana taarifa khs mikopo ya mwaka huu jinsi ilivyotolewa , pengine angetoa tamko.

nime mtweet, haja retweet, anajibu wengine, kaona ujumbe wangu, kauupuzia. So taarifa anayo, tatizo anaamin sana taarifa za mezani, anakera kwa kweli. Aaaaargg, mtu km Kagame, unajibu kla mtu aliye mtweet hiyo ndiyo maana ya social network unakua karibu na watu usiyoweza kumeet nao km kiongoz mkubwa. Badilika baba Riz 1.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom