Heslb vs 14th kureport chuo

Ibrashinto

Senior Member
Jul 3, 2012
123
6
Bado ni kitendawili kwa sisi tunaotegemea heslb hatujui ni namna gani tujipange wakati muda wa kureport chuo umesha wadia sasa kwa mtoto wa familia ya hali ya chini kama mim nifanyeje nimesha changanyikiwa!
 
Usitegemee 2 Heslb Ndugu.kiukwl Hali Ni Ngumu Sana Na Hakuna Matumaini Kupata Ki2 Kutoka Heslb.mim Mwnyw Nmechaguliwa Mascom Mliman Wakat Hat Si Priority Licha Ya Kuchagua Educatn Vyuo Kadhaa.. Mwenyw Nahaha Kusaka Wadhamin Licha Ya Maomb Nilioya2ma Heslb Yaliyoambatana Na Barua Ya Maomb Ya Asilimia Mia Kutokana Na Hali Mbaya Ya Kwe2.nasaka Wadhamin Waniwezeshe ila Bado Sijawapata!. usijali mazee. vp we course gan wameku2pa?
 
Back
Top Bottom