Heslb toeni loan allocation

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Common sense dictates hivyo, toeni loan allocation wazazi wetu wajue la kufanya in any case one needs to sell whatever he/she has to send a child to school.
 
ukizingatia kuna baadhi ya vyuo vinaanza kufungua mid September hii ni hatari sana, wanaweza sababisha tukauza mali kwa bei ya hasara
 
ukizingatia kuna baadhi ya vyuo vinaanza kufungua mid September hii ni hatari sana, wanaweza sababisha tukauza mali kwa bei ya hasara

Nami ndilo lengo langu wazazi wajiandae mapema. Wanaofungua mid september watafanyaje? These people must be considerate, watu wa ajabu hawa, nchi hii iumbwe upya!
 
embu acheni wenge bhana mwaka jana mbona yalitoka kwenye wiki ya kwanza ya september na hakuna kilicho haribika...kama ipo ipo tu!!
 
embu acheni wenge bhana mwaka jana mbona yalitoka kwenye wiki ya kwanza ya september na hakuna kilicho haribika...kama ipo ipo tu!!

Wewe mtoto sisi ni wazazi tunajua madhara ya kuchelewa kutoa taarifa ya mikopo. nilitegemea niongee na wazazi wenzangu, kumbe ni nyinyi watoto!
 
Back
Top Bottom