HESLB, TCU dhidi ya vyuo

ni km anakejeli waliokosa!, km ipo ipo tu, hainaga haja ya ''kutembea kifua mbele km umepigwa ngumi ya mgongo" nukuu toka Fid Q.
umemsoma ehh, jamaa kaja kwa mbwembwe akaanza kukejeli bila kuangalia mada inasema vp...inasikitisha sana. :(
 
Ndiyo tumepewa we ulitaka 2sipewe mimi nina EEF_HKL Mkopo 3,452,000 chuo eckanford tanga!! Mjanja kupata we endelea kuuza mahindi ya baba na mama au bibi na babu ili ujisomeshe sisi twaendelea kula bata!
<br />
<br />
 
uc2kane mamba hujavuka mto, c umeckia wana reviw upya? ucshangae ukitemwa maana haikuwa hak yako.
 
uc2kane mamba hujavuka mto, c umeckia wana reviw upya? ucshangae ukitemwa maana haikuwa hak yako.
nani kakwambia wewe! Tofautisha fact na political fact!! Haikuwa haki yangu ilikuwa ya nani? Nyie endeleen kupiga kelele za mauvu tu!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
duh,na kuna CCC ya PCB imenyimwa mkopo.
wakati sisi tulivyokuwa tunakesha tukiomba tupate mkopo wa mana wao walikuwa wanashnda wamelala tu! Yame wakuta wanalia!
 
wakati sisi tulivyokuwa tunakesha tukiomba tupate mkopo wa mana wao walikuwa wanashnda wamelala tu! Yame wakuta wanalia!
^wewe inaonekana ulikesha sana kuomba upate mkopo zaidi ya kukesha kwa kusoma.
 
ha ha ha ha! HKL unapata hvyo alivyo unajidadavua. Badala ya kusupport wenzako waliojitahid zaid yako nao wastaili kupata hata hicho kidogo, badala yake we unajiona mwamba. Hivi huon umepata huo mkopo kwa bahat mbaya, badilika kijana mwenzangu, hzo fikra mgando za kumcheka mwenzako kutoweza fanikiwa ni zakizaman sana. Nakutakia bata jema, ila usitoke tu na GPA 2, huko ukomae zaid mwana.mia
 
^ mwambie kabisa, asifikiri huko anapoenda atakuta bahati nasibu kama za HESLB.. Jamaa amenishangaza kweli..alafu nampa hongera anajidai..hajui anadharauliwa?
 
kama kweli umepata EEF YA HGK.usipo kazana mwaka wa 2 itakuwa ndoto kwako.naukafaidi hiyo m 3 kwa mwaka 1.pole sana kaka
 
kama kweli umepata EEF YA HGK.usipo kazana mwaka wa 2 itakuwa ndoto kwako.naukafaidi hiyo m 3 kwa mwaka 1.pole sana kaka
bora ^E.E.F ya HGK ningesema geog ni ngumu.. Ni E.E.F ya 'HKL'
 
Back
Top Bottom