Mkulima,Usipoteze muda kubishana na watoto wadogo,Mimi nilipotoa hoja kuwa huyu mtu watu waepukane naye kuna baadhi ya watu hawakufahamu ni nini lengo lake,wakadhani ni mtu anayekuja hapa kutafuta ushauri kumbe la ghasha amekuja kumaliza kinyongo chake,Ndio maana anaishia na kuregister mi ID kibao,mara Luther,mara Gynaecologist mara Beijing lu,hadi atafika MASA lu. Hivyo hakuna haja ya kubishana wala kupoteza muda wako kaka kwa watu kama hawa.Sisi tulio huku tushawazoea.Huku kuna kitu wenyewe wanaviita vikao,yaani wanakutana wanatembeza kinywaji na kupitisha muda,hivyo majungu yote yanasukwa huko kwa watu wasio na deal ama kazi ya kufanya(si unajua China ilivyo,inahitaji akili kumkichwa ili usiachwe feri),haiingii akilini kwa mtu mwenye mambo yake ya maana kupoteza muda kuanza kujenga mijungu isiyo na maana.
kama kuna mtu anayebisha naomba upitia kwa makini post za huyu mtu(Luther,Gynaecologist na Beijing Lu) hapo utabaini source ya post hii.
kama kuna mtu anayebisha naomba upitia kwa makini post za huyu mtu(Luther,Gynaecologist na Beijing Lu) hapo utabaini source ya post hii.