HESLB, OLAS bado hawajaanza kupokea maombi ya mikopo 2016/2017

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,134
2,010
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu.

Hali ni iko ivi loans bodi bado hawajatangaza kuanza kupokea maombi kwa sasa. endapo utalipia mpesa sh 30,0000 tsh utashaangaa kuona kwamba transation id ya mpesa haifanyi kazi kila unapotaka kuanza procedure ya kujirejister utaona unaandikiwa invalid transaction id pamoja na if id is correct try again later na hio baadae is like forever haifiki utasubiri mpaka ushangae na ndicho kilichonitokea mimi mpaka ikabidi nichukue hatua niende officin kwao kujua kulikoni baada ya kuwapigia vodacom na kuambiwa kuwa wenyewe hawana shida yoyote mtandao wao unafanya kazi kama inavyotakiwa hivyo ilinibidi niende loans nikaongea na mlinzi pale mlangoni kumweleza anielekeze nipeleke wapi malalamiko yangu nikashaangaa aliponiambia kuwa mimi si wa kwanza na kuna watu wengi ambao wameenda wakiwa na shida kama yangu ambapo yeye ameambiwa na mabosi kuwa mikopo ya form six ni bado mpaka pale watakapo tangaza kwenye vyombo vya habari ili watu wote tanzania nzima wasikie na sio kwenye mitandao kama habari zilivyopatikana awali kwamba bodi wameanza kupokea maombi.

So shida kwa sasa ni kwamba kuna sintofahamuu kwamba pesa hizi watu walizolipia m pesa zitafanya kazi endapo wataanza usajili .

Pia kasheshe ipo kwa baadhi ya stationary ambazo zimewachaji pesa kubwa wahitimu wa kidato cha sita mpaka sh 60,000 tsh kwa ahadi kwamba wanafanya kila kitu juu ya usajili...... kazi kweli kweli na ambao ndo wanataka kulipia ni bora wasilipie wasubiri mpaka watakaposikia maredion tv na magazeti. maandalizi mema kwa wote wanaondeda jeshii.

Ni mimi reporter wako bahati
 
mnaokurupuka sijui mnapataga wapi habari hehehehee aya tafuta pesa nyingine ushapata hasara kwa kukurupuka kwako

Vijana wengi hatupendi kutafuta taarifa sahihi, hua tunafanyia kazi taarifa yoyote inayopatikana. Tunapaswa kubadilika ili kujiepusha na hasara na usumbufu usio wa lazima. Haiingii akilini mtu anakua na uwezo wa kupata taarifa toka kwenye makundi ya whatsApp au Facebook halafu akawa anashindwa kuhakikisha usahihi wa hizo taarifa kwenye tovuti ya TCU au BODI YA MIKOPO.
 
Ujinga mwingi. Mimi niko town, lakini majuzi nimepigiwa na bro yuko up country kapanic kweli mtoto wake kamaliza form six. Anasema mke wake amempigia simu kuwa loan board mwisho wa kuapply ni tarehe 30 Mwezi huu wa tano. Nikasema hivi inakuwaje info nyeti kama hii inipite hapa mjini na kila siku nashinda kwenye internet. Daaah, kuja kuangalia hamna kitu

You guys you need to be smart mtaliwa hela tuu.
 
Pole kwa kukurupuka. Subiri dirisha lifunguliwe utume pesa kwa mara ya pili.

Halafu jaribu kuweka vituo kwenye threads zako. Umeandika paragraph kama sentence moja
 
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu.

Hali ni iko ivi loans bodi bado hawajatangaza kuanza kupokea maombi kwa sasa. endapo utalipia mpesa sh 30,0000 tsh utashaangaa kuona kwamba transation id ya mpesa haifanyi kazi kila unapotaka kuanza procedure ya kujirejister utaona unaandikiwa invalid transaction id pamoja na if id is correct try again later na hio baadae is like forever haifiki utasubiri mpaka ushangae na ndicho kilichonitokea mimi mpaka ikabidi nichukue hatua niende officin kwao kujua kulikoni baada ya kuwapigia vodacom na kuambiwa kuwa wenyewe hawana shida yoyote mtandao wao unafanya kazi kama inavyotakiwa hivyo ilinibidi niende loans nikaongea na mlinzi pale mlangoni kumweleza anielekeze nipeleke wapi malalamiko yangu nikashaangaa aliponiambia kuwa mimi si wa kwanza na kuna watu wengi ambao wameenda wakiwa na shida kama yangu ambapo yeye ameambiwa na mabosi kuwa mikopo ya form six ni bado mpaka pale watakapo tangaza kwenye vyombo vya habari ili watu wote tanzania nzima wasikie na sio kwenye mitandao kama habari zilivyopatikana awali kwamba bodi wameanza kupokea maombi.

So shida kwa sasa ni kwamba kuna sintofahamuu kwamba pesa hizi watu walizolipia m pesa zitafanya kazi endapo wataanza usajili .

Pia kasheshe ipo kwa baadhi ya stationary ambazo zimewachaji pesa kubwa wahitimu wa kidato cha sita mpaka sh 60,000 tsh kwa ahadi kwamba wanafanya kila kitu juu ya usajili...... kazi kweli kweli na ambao ndo wanataka kulipia ni bora wasilipie wasubiri mpaka watakaposikia maredion tv na magazeti. maandalizi mema kwa wote wanaondeda jeshii.

Ni mimi reporter wako bahati

Hilo Ndiyo Tatizo la Kuchukua Habari Facebook & Watsapp!
Sikuzote Ukweli Utaupata www.tcu.go.tz , www.nacte.go.tz & www.helsb.go.tz , wala si kwengineko.
 
Hiyo loan yenyewe hadi uipate Sasa, wengine tumechinjiwaga baharini, mwaka wa kwanza tunaumaliza kwa tabu sana

Ombeni Mungu mpate
 
sasa itakuaje kwa hawa wanaoenda jeshin kwa sababu hadi saiv bodi haijaanz kupokea maombi na tar 1 wanatakiwa kuripoti jeshin
 
Itabidi jkt wawapatie likizo maalum au ndio viungo havina mawasiliano?
 
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu.

Hali ni iko ivi loans bodi bado hawajatangaza kuanza kupokea maombi kwa sasa. endapo utalipia mpesa sh 30,0000 tsh utashaangaa kuona kwamba transation id ya mpesa haifanyi kazi kila unapotaka kuanza procedure ya kujirejister utaona unaandikiwa invalid transaction id pamoja na if id is correct try again later na hio baadae is like forever haifiki utasubiri mpaka ushangae na ndicho kilichonitokea mimi mpaka ikabidi nichukue hatua niende officin kwao kujua kulikoni baada ya kuwapigia vodacom na kuambiwa kuwa wenyewe hawana shida yoyote mtandao wao unafanya kazi kama inavyotakiwa hivyo ilinibidi niende loans nikaongea na mlinzi pale mlangoni kumweleza anielekeze nipeleke wapi malalamiko yangu nikashaangaa aliponiambia kuwa mimi si wa kwanza na kuna watu wengi ambao wameenda wakiwa na shida kama yangu ambapo yeye ameambiwa na mabosi kuwa mikopo ya form six ni bado mpaka pale watakapo tangaza kwenye vyombo vya habari ili watu wote tanzania nzima wasikie na sio kwenye mitandao kama habari zilivyopatikana awali kwamba bodi wameanza kupokea maombi.

So shida kwa sasa ni kwamba kuna sintofahamuu kwamba pesa hizi watu walizolipia m pesa zitafanya kazi endapo wataanza usajili .

Pia kasheshe ipo kwa baadhi ya stationary ambazo zimewachaji pesa kubwa wahitimu wa kidato cha sita mpaka sh 60,000 tsh kwa ahadi kwamba wanafanya kila kitu juu ya usajili...... kazi kweli kweli na ambao ndo wanataka kulipia ni bora wasilipie wasubiri mpaka watakaposikia maredion tv na magazeti. maandalizi mema kwa wote wanaondeda jeshii.

Ni mimi reporter wako bahati
Vipi unaweza kuaapply kama umehitimu miaka ya nyuma?
 
Naomba kufahsmishwa kwa mtu alie soma diploma na sasa anataka kusoma degree. Je anaweza akaomba mkopo?
 
Back
Top Bottom