Heslb loan allocation ni mpaka mwezi wa kumi

ROGERSHINE

Senior Member
Aug 15, 2012
129
82
Wapendwa wana jf kutoka chanzo changu cha habari cha uhakika ni kwamba loan allocation for academic year 2012/2013 ni mpaka mwezi wa kumi kutokana na mchakato mzima wa utoaji wa mikopo hiyo kuchelewa kuanza na mfumo mzima wa utoaji mikopo kubadilika tofauti na miaka iliyopita,najua hii c habari nzuri but inabidi tukubaliane na ukweli na kuacha kufarijiana tukielezana kila siku mikopo inatoka kesho na siku zinazid kuyoyoma pasipo kuona mabadiliko yoyote
AHSANTENI SANA NA POLENI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUSUBIRI LOAN ALLOCATION
 
Hivi na huyu waziri wa elimu nae anaridhika na hali hii maana yuko kimya tu.Kwanini basi wasitoe taarifa kwenye vyombo vya habari na website yao ni lini wanatarajia kutoa hizo loan allocation.

Nchii hakuna uwajibikaji kabisa.Hivi bila wanafunzi wa elimu ya juu wangekuwa na ajira hiyo au kungekuwa na kitu kinachoitwa loan board!Sasa kwanini hawaoni umuhimu wa kutoa taarifa kwa applicants kwani ndio waajiri wao!

Bongo kila kitu bora liende.
 
Kweli 2na kila sababu ya kuhoji,tatizo kubwa heslb wanafanya mambo kwa mazoea,wanapenda sana kujifungia na kufanya judgement,mbona elimu ni haki ya kila mtu so yanini kuwanyima haki watz ya kikatiba ya kupata hbr? Kwanin munapenda kunyooshewa vidole kila mara au mwazani mtapata popularity? Kwanin wanafunz wawaseme ndo mkumbuke majukumu yenu kwa nin?hv kweli board hii inaongozwa na watz wazalendo kweli,kama ndiyo mbona hatuoni hata robo ya uzalendo huo?!!!,jaman nakumbuka kipindi kimoja mh martha mlata na kamati yake ya huduma za jamii alisema mwaka huu hakutakuwa na maudhi yoyote coz wametembelea bodi na kujionea matatizo so serikali(ccm) itafanya mabadiliko makubwa mambo yote yataenda kwa wakati vp martha mbona cvyo?dr kawambwa kasema bungeni eti mwaka huu wamepata mwarobain wa matatizo ya bodi mbona mh sivyo? Jaman wazir wa fedha katangaza mabilion meng ya wanafunz elimu ya juu mh vp kweli mumeshawapa cheque board na hazina yako? Duuu kweli tz 2na kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo physically na mentally,ok fine basi mh waziri wa elimu kivuli vp kaka ww unasemaje kuhusu hili may be kauli yako inaweza toa njia kwa watoto wa masikin waliotumbua macho helsb wakisubir kodi zao wanazolipa kila siku ziwarudie kwa njia ya mkopo,
 
tutafika tu
 
TENA WANACHUKUA NAMBA ZA MAWASILIANO LAKINI HA:flypig:WAZITUMII HAWANA AKILI HAWA HESLB
 
Back
Top Bottom