HESLB forms

Bladerunner

Member
Dec 19, 2008
93
3
wakuu naomba msaada wenu kwenye hili!!je kuna mdau yeyote ambaye ana forms za mikopo za 09/10..nimekua nataabika kwa muda sasa kujaribu kudownload from their site ila imeshindikana and it's too slow!!please help i'm in need!!thanx!!
 
wakuu vipi??imeshindikana nini??invisible fanya mambos hawa jamaa site yao sijui iko down au vipi!!mpaka sasa hivi no luck!!
 
Wadau nasikia fomu za kwenye net zimekosewa? Dogo mmoja amezungumza na ofisa upangaji mikopo amesema fomu za kwenye net chaka
 
ebwana kwa freshers (form six livers) wanajaza slf2 au slf3? alafu mbona fupi ivo izo fomu au ndo zilivo? manake nakumbuka za kwanza zilikua ndefu mpaka kero.
 
Back
Top Bottom