Heshima

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
57
Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema "mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!
 
hahahahaa, vitoto huwa vinaharibu kinoma......mara nyingi ni mbele za watu...hahahah
 
hahahahahah, unanikumbusha mdogo wangu mmoja aliona nywele za kifuani kwa anko wetu mmoja hivi akauliza
mdogo: anko hzo nini?
anko: ndevu
mdogo: akashangaa aah anko una ndevu hadi miguuni
mana anko alikuwa amevaa bukta so dogo kumchek anko miguuni akaona vinyoleo vingi akajua navyo ni ndevu.
 
haha ha ha aha.....watoto sio wa kudanganywa. rahisi kukuumbua
 
jaman mtoto yuko sahihi kabisa...anatii na kutumia kile alichofundishwa na babaye....
 
Back
Top Bottom