Heshima yako mkuu.

Eng Mayeye

Member
May 23, 2011
37
1
Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa kushika HATAMU tutaiongoza jamii hii hii na huu kuwa MSUMARI WA MOTO kwetu pia.
 
nyie wenye amani ndio mnaokula milo mitatu kwa siku sisi hata moja ni shida amani iko wapi?
 
Mara umjibu, mara umkosoe! Sasa kama hana hoja si ungeacha kumjibu? Suala la kupata mlo mmoja syo lako peke yako. Afterall, wewe si mmoja wa hao wa mlo mmoja wa siku. Acha kuwakoga!
 
Back
Top Bottom