Heshima ya wanaume wa makamo

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
195
Wandugu nimeobserve ki2 kimoja nadhani mtakubaliana na mimi. Lately heshima kwa wababa imeshuka sana tena hata kuliko kwa vijana wa 25-35 kutokana na tabia za kifataki zilizokithiri. Siku hizi hata msichana akikutana na mzee wa umri wa babake anajifikiria mara 2 kuhusu kumpa shikamoo. Hii ni kutokana na tabia ya wababa wengi kutokupokea shikamoo siku hizi. Hii inanipa wasiwasi sana kwani kadiri siku zinavyokwenda hali hii inazidi. Wababa wamepoteza heshima kabisa cku hizi. Am just saying
 
Hii observation umefanya is very true... thou you are just saying....
 
Owwwkey!!

Wamekusikia wajirekebishe kama hiyo heshima ni muhimu sana kwao!!
 
Haka ka ujumbe mnaonaje mkimpelekea Nancy Sumari? ha ha ha ha maana yeye kaamua kumbeba/kumpakata baba, na akamtuliza mpaka baba akatapika maji ya uzima na yeye akameza yote
 
100% true! sasa hivi binti akikutana na mtu wa makamo sio shkamoo tena ni smile na jicho la kutega! mwananume mzima anakaambia ka binti ka 18-25 mambo! utasikia Poooooa! hakuna heshima tena
 
Wandugu nimeobserve ki2 kimoja nadhani mtakubaliana na mimi. Lately heshima kwa wababa imeshuka sana tena hata kuliko kwa vijana wa 25-35 kutokana na tabia za kifataki zilizokithiri. Siku hizi hata msichana akikutana na mzee wa umri wa babake anajifikiria mara 2 kuhusu kumpa shikamoo. Hii ni kutokana na tabia ya wababa wengi kutokupokea shikamoo siku hizi. Hii inanipa wasiwasi sana kwani kadiri siku zinavyokwenda hali hii inazidi. Wababa wamepoteza heshima kabisa cku hizi. Am just saying
...Ni kweli ninachoona mimi tatizo ni hivyo vibinti kwa kweli utadhani wote mwalimu wao mmoja. Kwa mfano vimekuwa vinajiamini mno kiasi kwamba hata anapokutana na huyo mbaba wa makamo nadhani anakuwa na hisia 2 kichwani kwamba ya kwanza nimpe shikamoo na ya pili akiniambia kitu sikatai.matokeo yake na hizo njemba zinapitiliza tu mwishowe inabaki kuwa "uncle XY mambo vipi?"
 
Ukweli usiopingika na sio kidogo na hawana hata aibu kuwasalimia watoto ambao wengine ni wajukuu zao eti binti mambo
Yaani hakuna heshima tena
Ila na wamama nao wako the same kwa vijana wadogo viserengeti boyz maana nao shikamoo hawazitaki kabisa wanatala waambie habari yako maana ukimsalimia shikamoo anakuambia wazi unamnyima nini
 
Ila nao vibinti vinatega mnoo bna ukiwa cheki 2 wanakutabasamia na sio tu kwa kwa watu wa makamo ata vijana....
 
mbona kama mtoa mada yuko biased.hivi hakuna wamama wanaotoka vijana "serengeti boys"
 
Back
Top Bottom