Heshima ya mwanamke Pt 2. Wema Sepetu aweka mambo Hadharani Fiesta Dodoma,....nje!

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
wema sepetu.jpg
Kale kadadaketu kalikutwa hivi huko Mji Kasoro Bahari kwenye Fiesta.
Wapi heshima ya madada zetu?
 
Hata la kusema sina, natamani ningeingia kwenye akili ya kila dada/mama anayejidhalilisha kwa madai ya kwenda na wakati nikambadilisha mawazo yake. Nachukia sana tabia za madada/wamama wa aina hii, wanatudhalilisha wanawake wote kiukweli.
 
This is too much, what are they trying to achieve.! coz anaonekana hata yeye mwenyewe hayuko comfortable...mambo mengine ni kujidhalilisha tu
 
Mwana dada Wema juzi katika Serengeti Fiesta ya Morogoro wakati Diamond anaimba nae akapanda jukwaani kumpa kampani ila cha ajabu ghafla akaanza kuonesha makalio yake juu ya jukwaa, hii huu ni uungwana kwa mtu aliyewahi kuwa Miss Tanzania? au ndo zile bhangi hazijaisha bado?View attachment 33316
www.hassbabymapacha.com
 
Kama vipi unapita tu, Chakula unaweza kula leo kesho na keshokutwa kama kitamu kula kama kibaya badilisha
 
Yupo kwenye mkakati wa kupata viti maalumu bungeni nyie kaeni mkifikiri ni mapepo mwenzio ana tageti na jamaa wa chama cha magamba
 
Ila jamani tuache masihara Wema yuko bomba hasa nikimuangaliaga kwa nyuma nyie acheni tu.Me ningekuwa inzi kila wakati ningetua kwenye kalio lake.
 
kwel huu umaharufu ni kaz kwel kwel, sasa ndo nn ivyo? ovyooo
hakuna umaarufu wala ma V ANAUZA TUUU wanunuzi wakina pedeshee wameweka magar mekundu na meusi stand by kuna vilio vywa kusaga meno veryveryvery sooooooon lets wait and well cccccccccci
 
Ila jamani tuache masihara Wema yuko bomba hasa nikimuangaliaga kwa nyuma nyie acheni tu.Me ningekuwa inzi kila wakati ningetua kwenye kalio lake.
wewe ni mgeni hapa town! ana nini yulee? USIHADAIKE NA RANGI TAMU YA CHAI SUKARI MUZEEE! mrembo wa ukweli anaejiamini hawez kaa uchi kadamnasini no matter ni g or f sting amijipigilia! we mupenz wako akianika nyeti zako vile unakubali? ukisema ndio naomba ban manake ntatukana walah tena!!! naamini unataka kumchungulia tuu .
 
pole mama mzazi maana inauma sana mwanao anapokuwa hivyo. ila tuzidishe maombi kwa wanetu maana hali si nzuri.ipo siku atawabadilisha.
 
Back
Top Bottom