He's my everything

Rejao na boby spray wapi na wapi?...yupo busy anagawa kadi kwa wanachama wapya... Niamini tu honey manake mie pia nakuamini na ndio mana nimemruhusu Mwali awe ananisaidia kukuchongea penseli yako...
Mmmmh! Kumbe unajua kujitetea?
 
If I wont trust u then the trust wont have meaning at all (hii nimekopi kwenye muvi kwa ajili yako tu)
hehehe halaf hiyo "body spray" bora umtafsirie rejao, asje akazania tumemtusi kwa kiingereza
Hahah..umejuaje? Hapa nilikuwa nataka kuwa sue halafu wakili wangu unakuwa wewe mwenyewe!
 
Nilimkodishia apartment akakaa siku moja halafu huyo akatoka ndukii...
Tumlembee Nairobi unajua jamaa hapo bongo ana msala wa kuondoka na wallet ya wajanja flani kwenye show ya Ipupa, sasa wazembe wamemweka big broza, juzi walimkosa kosa zone za ifakara morogoro. Si ndo maana jamaa hambonji sehemu siku 2 mfululizo
 
Dah! Kumbe hadi ile show ya Ipupa kamaliza ngoja nicheki na Odinga Nairobi kama anaweZa kumsitiri kijana wetu..
 
Nimekuja na kreti za kutosha,juice,bia,cocacola,konyagi mwitu,na viroba,jichagulieni kama huoni kunywaji unachotaka useme italetwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom