Heria mke msomi kuliko wa msingi??

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
75
Ukweli elimu inamsaidia mtu kuwa na ufahamu katika maisha na kujua jinsi ya kukabidhi changamoto za maisha na kadiri mtu unapozidi kusoma ndivyo ufahamu na uwezo wa kupambanua mambo unakuwa mkubwa. Ukweli wanawake wa elimu ya chini ni wagumu sana kwenye swala la kubadilika kifikira au kimtazamo kwa kile wanachoamini ni sahihi(kama kadanganyika ni forever, kama ni umalaya, ngono, kuwa mrahisi, uhuni, tamaa vipo kwenye fikra zake ni forever ni vigumu kubadilika). Ila wasomi ni kinyume chake japo wanamadhaifu ya kuongoza kwa usaliti kuliko wa elimu ya chini kutokana na kukutana na mazingira tofauti tofauti. Mwisho inakuwa kwamba mwanaume ambaye ameoa mwanamke wa hali hiyo anakazi ya ziada ya kuibadilisha familia yake kimfumo wa maisha hata kimaendeleo
source: The Budapest Sun la Hungary
JAMANI TUSAIDIANE EXPIRIENCE!
 
Mila, desturi za eneo ambalo huu utafiti wako umefanyika, yaani "The Budapest Sun la Hungary" ina maana nchini Hungary, ni tofauti na mila na desturi za kibongo.
 
Kusoma sio kuelimika hivyo usidanganyike kwa namba ya madarasa au wingi wa vyeti!!

Pia waweza faulu elimu ya darasani ukakosa ya maisha ambayo ni muhimu zaidi katika kufanikisha namna ambayo utaishi na watu wengine.
 
Elimu ni ufunguo wa maisha ndo mana mzazi aliye na uwezo wa kifedha yupo tayari kusomesha mtoto wake shule ya gharama yeyote ili apate elimu nzuri ije imsaidie maishani na hata yule ambaye hana uwezo mkubwa kifedha atajitahidi amsomeshe mtoto wake kwa uwezo wake ili mwisho wa siku elimu imkomboe na ili nchi ipate maendeleo zaidi inabidi invest kwenye elimu.
 
Back
Top Bottom