Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 752
Fixed Point nitakuwa kama paparazzi pale unajua mambo ya valentine people tunaharibu sana so wakiona red tu wasisite kunitupia ka Kinywaji
Wengine wanajua ni siku ya kujingonoa sana...malav davi nje nje
wengine watabeba ma rose flower mpaka migongoni
Ma Teddy - B ya kumwaga
Hapo kwenye rangi ya Valentine hapo, lazima gesti orijino na gesti bubu zote zijae!!!