Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Kwani wifi hujajua kuwa klorokwini wa jf ndie bob junior?... Zubaa hapo shauri lako.

Afu bado nimekununia mpaka mwakani mwezi kama huu!
Jaman my lovely wii,
Hv unajua mie iko penda sana ww?
Usinunie bana unajua nina habari njema kutoka huku hane muni...........!!!

Huyu kloro km anaziweza zile swaga nitakua mteja wake wa kudumu kwa bendi yake atakayoanzisha lol!
 
Kwani wifi hujajua kuwa klorokwini wa jf ndie bob junior?... Zubaa hapo shauri lako.

Afu bado nimekununia mpaka mwakani mwezi kama huu!
hehehe
nananaan naniniii nanana nanniii
Muhogo eeee andazi eee muhogo eee andazi eeee.
Dah! yaani bora ungenifananisha na marehemu kuliko huyo jamaa, anauzi ajabu.
 
Oder pliiiz ! Mmekuaje nyie ? Hamuishi vijisekreti ! Mpaka mwenye shughuli analalamika mnamtilia Nzi kwenye Uzi wake! Kwenye shughuli je ? Si ndo mta......
Hahahaaaa majingu hayo....safari na miziki JG....Hapa raha mwanzi mwisho kwanza sisi ndo wapishi wakuu lazma tukapange mambo sawa pembeni
 
Kloro ni rafiki wa felo tablet
Nampendelea kiaina, nakudanganya
Nimempa kazi ya kuzunguka zunguka.

Mbona klorokwini humpangii kazi?.. Yupo anazunguka zunguka tu wakati wenzie tuko busy kuhakikisha sherehe inafana!
 
Hahahah hahahhha,
Ila ujue siku moja moja lzm uwafurahishe washabiki kwa ww kuingia mzigon live atiii!
Umesahau boss ndio mfano kwa wafanyakazi wake????!
Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.
 
Jaman my lovely wii,
Hv unajua mie iko penda sana ww?
Usinunie bana unajua nina habari njema kutoka huku hane muni...........!!!

Huyu kloro km anaziweza zile swaga nitakua mteja wake wa kudumu kwa bendi yake atakayoanzisha lol!
Hane muni gani mnakaribia kumaliza mwaka hamrudi nyumbani, mnataka mkuje na mtoto kabisa au?.. Haya nakuchekea kwa leo tu vile umesema una habari njema za hane muni. Unipigie unambie ili nifurahi...

Hujawahi kusikia bendi inaitwa 'klorokwini mashauzi classic'? Ndiyo ya loya hiyo wifi.
 
hehehe
nananaan naniniii nanana nanniii
Muhogo eeee andazi eee muhogo eee andazi eeee.
Dah! yaani bora ungenifananisha na marehemu kuliko huyo jamaa, anauzi ajabu.
Mie nilijua ananiudhi peke yangu, kumbe tuko wengi lol. Kuna nyimbo zina utata ila ya kuambiana muhogo na andazi ni kiboko, sijaielewa mpaka kesho!
 
Twaitia yakhe usiwe na wasi.

Shemeji mbona umempoteza swahiba angu Husninyo?( hapa nimeuliza huku nimenuna)

Jana alienda Unguja mara moja anarudi leo, nadhani atakua melini saaii, anarudi Netwk itakua inamsumbua. Haya ndiyo nilikua nakumbushia msije kuisahau hiyo Nyama kuitia Chumvini.
 
Fellow tablet kuna mdada kaondoka na nguo zake gesti, ndio tunapanga mikakati ya kumpelekea japo ka taulo ka kutokea apo gest.

Mpelekee haraka hicho kitenge changu jamani
Tutagombana kesho, leo siku nzuri sana

Oder pliiiz ! Mmekuaje nyie ? Hamuishi vijisekreti ! Mpaka mwenye shughuli analalamika mnamtilia Nzi kwenye Uzi wake! Kwenye shughuli je ? Si ndo mta......

Yaani hawa wapana wa maneno kama pazia la leba

Hiyo nyama mpaka saivi, hamjaitia Chumvini tu ?
Itieni basi !

Heh, wee mwanamme mzima unaonja mboga jikoni?
Umekuwa Chopeko na Mnofu?
 
Hivi asante nzuri kabisa inatolewaje?
Au ndio, would you marry me?

Thanks RR, si unaona navyowapenda mods eeh, nimepaisha hewani, hasa wewe.
Lol, thank you Kongosho. Hapo in bold nimecheka sana, ngoja nimuoneshe Hubby, siku hizi naona anaringa. Maybe he thinks sina alternatives zingine. lol
 
Hapa bongo bana! wewe hujawahi kuona dereva wa truck anapewa u pilot wa ATC? samtaimu bongo kuna mpaka featuring ya shekhe na padre kwenye nyumba za ibada ili kunogesha sadaka.
Hahhah hahhahhha,
Unajua nikipewa kimemo ntakushitaki!
Nimecheka kwa laudi spika lol!

Hiyo kolabo ya padre na shehe inafanyikia kanisani au msikitini hahahahah!

Bora uwe mganga wa kienyeji italipa sn alafu uspecilize kwenye kumwita aliyembali,kupandishwa cheo,ndoa haraka,safari za ulaya na kuongeza nguvu za kiume lol!
Usisahau kuandika unatoka sumbawanga!!!
 
Back
Top Bottom