Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.

Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.

Kompyuta mpakato ya nini ?
Hayo Mayai huyahitaji tena kuyatumia ?
 
Nyie wote nawapa kazi ya kunawisha watu shughuli ikianza.
Afu vaeni basi hata mashati masafi, Erick lako hata vifungo halina, tumbo liko nje.
Hahahaaa hilo nampa Sweetlady ili kazi inoge....siunajua safari na maonyesho....
 
Unanichakachulia uzi babueeeh
Tafutaneni kwa PM.
We unataka nimenye vitungu nikiwa nimenyamaza.....
Noja nikawatafute wataalamu wa kachumbali na juice za matango waje tushambulie maandalizi....
Vipi kutakuwa na Mbege au Chimpumu?
 
Aliyekuambia Tandale tumefulia nani?
Kuna John Walker, MacDaniels, Amarula for Ladies, red, white and purple wine.

We unataka nimenye vitungu nikiwa nimenyamaza.....
Noja nikawatafute wataalamu wa kachumbali na juice za matango waje tushambulie maandalizi....
Vipi kutakuwa na Mbege au Chimpumu?
 
Mtoto kama wewe unakosaje komputa
ina maana theboss alishakutosa.

Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.

Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.
 
Mamo ya kumtafutia hapa kwangu sitaki, si unaona anamenya vitunguu.
Khaaa, sherehe gani ina mikwara hivi?..

Wajua namtafutia nini? Chumvi hujaleta ndio nataka kumwagiza akanunue manake tumebandika nyama haijatiwa chumvi..
 
Mmmh, huyo nauli ya Kariakoo tu shida
Anatembea kila siku, komputa anasema ni anasa to the nth level lol
Kwanza ni mwizi wa vocha zangu sana, usimuone hivyo.

Mtoto kama wewe unakosaje komputa
ina maana theboss alishakutosa.
 
Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.

Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.

Dearest, siyo komputa mpakato jamani, ni ngamizi mpakato. . .kompyuta=ngamizi. Got me?
 
Asante, afu ujue wewe kuna kitu kinakufanya nikupende kama mpwa wangu.
Afu na avatar zetu zinahusisha familia japo yako unaongekana ukijamjali mke, mie namkamua mke kwa kwenda mbele.

Happy Anniversary kwako na mpenzi wako Efu Jei.
 
Asante Don Mangi
Karibu shereheni, sema lolote kuhusu besi dei.

Wengine wanasema talikilishi mpakato badi raha tupu.

Dearest, siyo komputa mpakato jamani, ni ngamizi mpakato. . .kompyuta=ngamizi. Got me?
 
Back
Top Bottom