Hepi Besidei Kongosho - Ya kiongo ongo

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Nimeamua kujipongeza hepi besidei baada ya kutimiza mwaka hapa Efu jei.

Si mchezo, mwaka mzima ukiwa unafurahia kupasuliwa vichwa na watu usiowafahamu kimwili bali kimawazo tu.
Ni starehe ya aina yake kama kula pilipili huku inawasha.

Kiukweli, kila mmoja amechangia kuongeza japo sekunde ya kuishi na kutabasamu, ila huyu nanii kanipunguzia wiki nzima aaggrrrr, nikikukamata live on stage utanitambua maana unajijua.

Hivi niwapende au niwachukie? Mnanichekesha sana, kwa hilo nawapenda, ila mnaniudhi sababu mnanimalizia vocha zangu za mawazo yaani kibanda cha Mangi nadaiwaje kwa ajili ya kuwaona tu nyie.

Nina porojo nyingi tu za kuwaambia ila hapa intanet kefu muda umeisha.

Nisisahau kujipendekeza; mods nawapenda nawapenda akyanani, kama fulani siku hizi ni full maLike lol

Karibuni jioni pilau na kahawa pale kwa Mtogole, nimefunga turubai barabarani.
 
hongera zako kaka kongosho.Lakini shughuli saa ngapi??
Mm ni yule yule bli ID ndio mpya, siunajua mambo ya X-PLASTER.lol
 
Hongera Konnie..

Kwangu wewe niJF Best intertainer....

Happy b'day Konnie..

Ila ukipata like ya Invisible,ukatambike!
 
Mmmh, basi mie za huyo nazo kibao hadi na yule mwenzie mkali mkali hivi ila mzuriii.

Hongera Konnie..

Kwangu wewe niJF Best intertainer....

Happy b'day Konnie..

Ila ukipata like ya Invisible,ukatambike!
 
Mie mme wa "Mwenyewe" sina tatizo ntakuja nae "Mamaa- Penzi"
ila tunaomba tutengewe siti zetu pembeni, pasiwe karibu na jikoni, maanake mwenzangu anasumbuliwa na harufu ya vitunguu.
Alafu kuna Jf member mwenzangu yeye simu yake haina churge muda huu, kanituma nimuulizie kwamba yeye hana mke rasmi, lakini ana demu wake yuko safari, anauliza huduma ya mademu itakuwepo hapo mnusoni ?
 
hongera sana mkuu,
wenzio tunakupa 'like' hata zimefikia 3,.......
wewe mbona mchoyo umetoa tu 1,.....
 
Jamani, kwanza unishukuru.
Nina deni la vocha kwa mangi 23,520.
Niko via Mobile muda mwingi
Leo imebidi nije intanet kefu, nimelipia masaa 3.

Nikipata mkopo finca ntanunua komputa mpakato.

Back
Top Bottom