Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.

Kama inawezekana nijuze wandugu.
 
Its such a pity kwa wale wote mnaomponda either bi au bw harusi. Wenyewe wamependana nyie inawa husu nini? Kama used, katumia mkorogo au bw harusi hajakuvutia SO WHAT?! its so stupid! Am sorry to say this, but kuna ambao hamjaoa hapa au kuolewa hamjajua mtakaokutana nao au mlionao ni watu wa aina gani na hata mlio kwenye ndoa pia hamuwezi jua kitakachotokea hapo baadae. LETS STOP HATING!!!
 
Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.

Kama inawezekana nijuze wandugu.
hata mimi nina case kama iyo kumbe ndoa za kikristo zinavunjika unafunga tena?
 
hapo pagumu kujibu... lakini siwezi kuwa na kitu ambacho ameshalalishiwa mwanaume mwingine halafu namimi tena nije kuhalalishiwa!!!
mjini hapa kila kitu kinawezekana bwana lakini sio fair bwana ila huyo brother analipa kweli. hawa chadema wakichukua nchi watahalalisha kuchumbia na kuoa yeyote nadhani kwenye sera kuna kupanua wigo wa kuchumbia nchini.
 
Mbona amjui maana ya used jamani kama yuko within 10yrs na apigwi faini mzigo ukiingia nini mnataka zaidi nyie wanga??
 
Unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli
 
hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! Naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? Kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! Sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.

Kama inawezekana nijuze wandugu.

mkuu mulama soma vizuri imekuwaje jamaa akavuta mzigo kirahisi..we omba waachane na yeye aamaue kukufata kama ulikuwa ukimdanganya na kampaata wa ukweliiiiiiiii loh utamsikia ahera dear
 
hii mandhari ya pili haionekani kama ni kanisani...na mfungaji pia haonekani

Thanks, so how comes mkataba wa kanisani unaodai ni mke mmoja na mume mmoja hadi kifo sasa umevunjwa na kuruhusiwa kufungwa kwa ndoa nyingine?? Au hii ndoa haina cheti kama ile ya kanisani? I get confused here
 
Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.

Kama inawezekana nijuze wandugu.
Duu! mkuu umenivunja mbavu!....anyway pole sana kwa maswahiba yaliyokukuta!
 
Kwa wanaojua, hii ndo imefungiwa wapi? Kanisani au Bomani kwa DC? na il;e ndoa yake ya kwanza na DJ Nelly wa clouds ilifungiwa wapi? Kanisani au kwa DC?

Y kwanza ilifungwa Azania Front K.K.K.T, hii ni kwa DC
 
Unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli

pdidy unaandika huku unakimbia kwenda wapi?........
 
unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli
umelewa?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom