Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

non of our biznec...nice couple!

Imeletwa hapa ijadiliwe, if it is non of my business kwa nini imekuja huku! Na kama imeletwa hapa ijadiliwe hayo ndiyo maoni yangu, si lazima yafanane na yako. Kila mtu yupo huru kujadili kitu kinacholetwa humu jamvini. Si kila kitu cha kufanyia upambe hata kama kinaenda tofauti na uelewa na imani zetu
 
Peopleeeeeee
power
nimeipenda hii
na bibie angepiga za hivi (kombati )
potelea kwa mbele hata wangeonekana kama mgambo sawatuuuu




11.jpg


mbunge wangu wa ubungo akiwa amepozi na maharusi

n.jpg


mpiganaji lema

dsc_5707.jpg


kama kawa ulikuwa mwendo wa kombati jeusi

5.jpg


mwenzangu pokea pete hii.

Kwa hisani ya mithupu.
 
kama hii avatar yako ndo picha yako halisi
mboni we unatisha kuliko huyo bwana harusi?
toooa kwanza boriti kwenye jicho lakoooo
ndiipooo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzioooo





nyani haoni sa bu ri lake




<br />
<br />
Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''
 
Tunawashukuru wote mliyotupongeza na kututakia maisha mema na vile vile waliyotuponda kwani huwezi kumfurahisha kila binadamu... mungu awabariki sana..... be postive
 
Picha ya kanisani na picha ya gwanda tofauti tofauti for the bridegroom..so Mwita25 maybe the guy isn't so photogenic in the suits pic but he looked great in the other ( if its the same person )

By the way, I never expected, men from your place to diss other men in the basis of their physique...
 
Yule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.

hiyoni dalili ya kujiandaa na vita katika hicho kitendo walichokifanya.waombe neema ya ungu iwaongoze kabla uharibifu haujaingia
 
Wakuu mnijuze, inawezekana mimi mshamba, mfano wa kuigwa ni upi hapo?
-Kuvaa kombati za blue/nyeusi kwenye harusi
-Kuvaa gauni la harusi/kufunga ndoa mara mbili kwa kipindi kisichopungua miaka miwili
-Kuomba talaka kwa nguvu zote kwa lengo la kufunga ndoa na mtu mwingine baada ya kuona kuna future zaidi
-Mbowe, Mnyika, Godbless Lema kuhudhuria sherehe ya harusi ya dada aliyeomba talaka ya nguvu kwa mumewe wa ndoa baada ya kuona amechoka kiuchumi
Nami niungane na mwenzangu aliyeomba radhi hapo juu, Bwana Harusi anaonekana kinda zaidi kuliko Bi Harusi. Sasa sijui Bi Harusi ni effect ya mikorogo! Maana Bi Harusi rangi yake ya asili ni mweusi

So sad mkuu kama haya ni ya kweli.
 
<br />
Ulitaka uolewe wewe? Nenda nawe ukawe mke wa pili ila inatemeana kama jamaa atakukubali
Hahahha...
Alianza DK Slaa kubeba mke wa mtu!
Amefuata huyu dogo!
Soon tutamuona Zitto..
 
Back
Top Bottom