Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''
Phewwww!!!!!!

ndo ujue love is money

Hii ni harusi ya kwanza Joyce aliyofunga na huyo jamaa anaitwa Dj Nelly wa Clouds FM nafikiri harusi hii haikuchukua muda ndio wakaachana

baada ya dada joy kupanda chati akatupa mbachao kwa msala ukaao

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

ndo ujue love is money

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''
Mwita25 ni Mzuri kama Joyce Kiria na alipata div1 form four. I wish kumuweka ndani
[h=2][/h]

Yule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.

katibu wa nini mkuu,mbona huelezi vitu vikaeleweka??au unafikiri kila mtu anamfaham?

kibacha tuwekee picha..

11.jpg

Mbunge wangu wa Ubungo akiwa amepozi na maharusi

n.jpg

Mpiganaji Lema

DSC_5707.jpg

Kama kawa ulikuwa mwendo wa kombati jeusi

5.jpg

Mwenzangu pokea pete hii.

Kwa hisani ya Mithupu.

Hii ni harusi ya kwanza Joyce aliyofunga na huyo jamaa anaitwa Dj Nelly wa Clouds FM nafikiri harusi hii haikuchukua muda ndio wakaachana

Nilijua kuwa hali ya kashfa na maneno meengi yatakuwa hapa.Lakini ukweli unabaki pale pale Hendy Kilewo na Joyce Kiria wametimiza ndoto zao.Harusi ilikuwa nzuri sana tena sana.Ni moja kati ya Harusi chache zimeshawahi kufana na kuridhisha Waalikwa.BRAVO KILEWO ND KIRIA NEEMA ND GOD BLESS ALLBLESS.

Kileo....kila la kheri maharusi.

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

Kwa kweli post zingine zinashangaza sana, kaka kwani una sumbuliwa na nini hasa?

Yule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.

Katibu wa nini. TFF, CCM,CDM,TLP,TUCTA,.Ufafanuzi tafadhari

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom