Hemed awaangukia mashabiki lakini.......

yupo hivi anajifany a smijui mkongomani mara sijui mwarabu wa dubai /shinyanga
jamani hta haya maigizo yao mie siangaliagi
kwa kifupi hana jipya ukichangia na **** aliyoifanya huko aibu tupu
kwa mtu mwenye akili lazima ujue jinsi ya ku solve problema ana ku react at the time look enviroment na jamii wewe ni nani na unayeongea nae

sasa hawa waarabu shule no ni magari na kuona kuwa weupe wao ni mali maeno machafu akiw ahata na vits na mtaani kwao wanamjua na alishawahi kutokea kwenye tv basi tabu
ohhhh
 
Vijana wa Tanzania tuwe na nidhamu maana kama jaji amesema huwezi wewe utapata wapi hizo point za kushinda. Nafikiri kwenye shindano nidhamu ni mojawapo ya kujiongezea point
 
Vijana wa Tanzania tuwe na nidhamu maana kama jaji amesema huwezi wewe utapata wapi hizo point za kushinda. Nafikiri kwenye shindano nidhamu ni mojawapo ya kujiongezea point

Nidhamu inabidi iwe pande zote kutoka kwa majaji na vijana wanaoshindana, kama jaji hana nidhamu unategemea vipi vijana wawe na nidham?
 
yaani huyu hemed na hao wanaomtetea hamnazo kweli!Kumdharau Jaji ni kama kuwatukana waliokupa nafasi ya kushiriki mashindano. ina maana hao Tusker wamekosea kuwaweka maJaJI ili wasiojua kuimba wapite tuu. Hemed unatakiwa ukamuombe mwaandaji wa hayo mashindano radhi. heshima huna. Hivi ulitaka kumpiga Ian ili iweje? ulidhani umeshinda akakunyanganya ushindi? wee kijana rudi kwenu ukafunzwe adabu! Domo lako chafu.
 
Mimi ni mshabiki wa Hemedi na mshabiki wa Jakaya Mrisho Kikwete. Wewe Jee?

Poa ndugu. Ukisoma maandishi yangu utajua mimi ni mshabiki wa nini na nani!

Hata hivyo siwezi kushabikia upuuzi hata kama umefanywa na mtu ambaye siku zote nimemchukulia kuwa role model wangu!!
 
Mitanzania bwana itaendelea kujikomba kwa hao wanaodhani mabwana. Jaji gani anaeponda kiasi hicho!!? Hemed kafanya sahihi kabisa kumpa ian ALICHOTOA. Mingurumbembe mingine inamuoana ian mungu! Yule mkulima tu ndio maana hamshindi chochote kile mnababaikia na wa upande wa pili! Umaskini jeuri unatia nidhamu.
 
wanaowapeleka washiriki wawe wanaangalia mtu kama hemedi hana adabu kwa watanzania wenzake anawatolea maneno machafu sembuse kw awatu wa njee/hemedi jirekebishee kaka superstar na adabu muhimu..
 
Its true that Hemed is a conceited dandy, pretentious fob and foolishly ostentatious, however, Ian's behaviour was unbearably humiliating and that was all he deserved in return.
 
Nakumbuka kauli ya sita lakini alisahau kuolodhesha tatizo la ushalobaro kama la huyu shosti hemed
 
Huyu mtoto na tabia zake za kupaka enjo fesi na karolaiti hata akirusha ngumi haiwezi kuwa kali kwani ATAOGOPA KUUMIA MEEEEEEEEEEEEEEEEEEN. Si mnajua tena za masharobaro

nakubaliana na wewe asilimia 99.999999999999999999999999999999999999
 
tatizo lake anafikiria kwa kutumia masaburi ndo maana ... tunatakiwa kumsamehe kabla hajatenda
 
Hivi ukiwa jaji wa haya mashindano ya muziki una ruksa ya kuongea chochote bila kujali athari yake kwa mhusika au ni sehemu ya mitihani wanayotoa kwa hawa watoto wanaoshindana? Mimi huwa siyo mfuatiliaji wa haya mashindano lakini mara chache nilizoangalia niligundua kuwa kuna baadhi ya majaji wanaongea mambo yanayowakera washiriki kiasi mpaka wengine wanalia. Kwa mashindano ya Bongo star search Tanzania kulikuwa na jaji wa kike (sikumbuki jina lake) na haya ya Tusker kuna huyu Ian.
 
Huyo ni mtoto na si fani yake kama ni fani yako football hata lefa akutoe humpigi makofi unajalibu siku nyingine
 
Jaji alisitahiri! niliona hicho kipande Jamaa aliponda utafikiri yeye ni shabiki! Jamaa anae aka-apply 3rd Newton's law of motion! Dawa ya moto ni moto!
<br />
<br />Bongo tunarudishwa nyuma na wa2 wa dizain yako na hemed.ni sawa na story ya jamaa aliyekuwa akioga uswahil bafu lililowaz huku katundika taulo mlangoni then chiz akalipitia jamaa akatoka uchi kumkimbiza mwiz ili achukue taulo lake.hapo nan anakuwa chiz?achen kusupport uozo huo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom