HELSB: Mkopo wetu wa stationary umeliwa na nani?

Manouver

New Member
Apr 19, 2008
4
0
Hodi JF,habari JF members
Mimi ni mmoja wa wanafunzi nchini China under Chinese Scholarship Council(CSC) 2006/2007,mwaka jana tuliandika barua kuomba loan ya stationary na tuliambatanisha na form za mkopo na kuzituma kwa Mama Kibaya wizarani thru DHL.

Tukaanza kuhisi mizengwe,tukimpigia simu Mama Kibaya anadai yeye form hajazipokea,tulipo visit website ya DHL yaonesha kapokea secretary wa wizara,tulipomuulizia huyo secretary akathibitisha kuwa amezipata na amempa Mama Kibaya,baada ya muda kidogo Mama Kibaya anathibitisha kufika hizo form ofisini kwake na kudai kuwa ali misplace.

Tulipoona kimya tukafanya followup HELSB,wakasema kuwa barua yetu haijawafikia,wakaenda kuuliza wizarani, MamaKibaya akakana kupokea hiyo barua na aksema hajui lolote kuhusu hayo maombi.Tukaandika barua nyingine mwaka huu tuka i FAX HELSB,ndipo twapata taarifa kuwa pesa zilishatolewa ila zimeishia mikononi mwa watu,sasa wakati tunaendelea kufanya utafiti wa kina juu ya hili tunaomba:
1.HELSB tuwekeni sawa juu ya hili.
2.MamaKibaya,tambua kuwa mimi ni miongoni mwa watu wanaokuheshimu sana kutokana na uwajibikaji wako murua hapo wizarani,tafadhali endeleza hii P ili ustaafu kwa uzuri,tueleze pesa zetu ziko wapi?
3.Tunajua kuwa Mama Ngonyani (mhasibu Ubalozini China) unashirikiana na baadhi ya watu pale wizarani kufanyia biznezz pesa zetu,akiwemo mama yake huyo adopted child wako wa hapa China,kama hizi pesa umepelekea makontena ya vitenge na kanga bongo,fanya mpango haraka utupatie hizo pesa twapata taabu sisi,hatuna computer,labcoats etc,isitoshe sisi ndio tutalipa hizo pesa.
4.Tupo katika taratibu za ku attach PDF/excell ya ushahidi wa kutolewa kwa hizo pesa,mwenye nayo faster, pleaz i PM kwangu ama attach directly.
 
hellow!!!!!!! mimi ni form 6 leaver mwaka huu 2009, natarajia kuanza chuo kikuu mwezi wa 9 hapa hapa nchini Tanzania. nachopenda kusema kwa leo ni kuwapongeza wale wote waliojiunga na blog hii ya jamii forums coz dis z ma first time 2 send my opinions, coz wanatupatia vitu muhimu kwa sisi tunaoenda kuanza maisha mapya ya chuo hivyo nawapa big sana wooooooooooooteeee!!!!! don worry, i have so many good things which are coming from me.
 
Poleni sana jamaa zangu hiyo ndo bongo na kama kweli mnao ushahidi wa kutosha kwa nini msitafute mwandishi wa habari yeyote huko arushe hewani na huyo mama ahojiwe live na sisi tumuone. Au tumeni no zenu za simu tutawapigia na kuwarecord.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom