Helpless:...My Dad's Gone!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Wakuu,

IAM SHOCKED!

HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.

Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

This is jst for info!
 
HEY jIMMY mY CONDOLENCE TO U AND UR FAMILY,SISI TULIMPENDA BUT MUNGU KAMPENDA ZAIDI,NA HIYO NI NJIA YETU SOTE,POLE SANA ZIDI KUMUOMBEA ALALE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
Wakuu,

IAM SHOCKED!

HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.
Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

This is jst for info!
 
Wakuu,

IAM SHOCKED!

HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.
Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

This is jst for info!
oooh!..MY GOD!........
ngoja nikupigie simu!
 
Pole sana , sote tuko safari moja, Mungu akupe nguvu on this hard time
 
Pole sana. R.I.P mzee wetu. Mazishi yatafanyika Mbeya sehemu gani ili tuungane katika kipindi hiki kigumu?
 
Wakuu,

IAM SHOCKED!

HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.

Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

This is jst for info!
Mbeya sehemu gani??
 
Dah mkuu PakaJimy!

Pole sana tena sana mkuu! Mungu akutie nguvu..najua ni kipindi kigumu sana kwa sasa hivi..lakini yeye AMETOA na yeye ndiye ANAYETWAA...ili utukufu wake uonekane na watu wote wamjue kuwa ni YEYE peke yake mwenye kutoa na kutwaaa apendavyo.

Majaribu yapo ili tuyashinde! Ninaamini hata katika hili utashinda!

Pole sana!
 
Pole sana kaka. Mwenyezi Mungu akutie nguvu wewe na Familia yako. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Pole sana Mungu awape nguvu za kukabiliana na tatizo hili kubwa. Awabariki awalinde na awatangulie katika safari yenu kutoka Arusha kwenda Dar es salaam na kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya. Ninyi mlimpenda lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi.

Bwana ametoa Bwana ametwaa
 
kaka,
pole sana! kweli saari ya maisha ni fupi! yaani hatujui nini kifuatacho ndani ya sekunde moja mbele!
Pole sana kwa msiba mzito, dah baba....inauma sana!
May his soul rest in peace!
 
Back
Top Bottom