help yahoo messenger on blackberry

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Hello,
I have been using msn messenger on my blackberry without any problem. Unfortunately, I cannot use yahoo messenger... Everythime I try, I get prompt like "this program is not enabled on the handheld". Can you please assist... How do I enable it?
 
Mkuu je hio BlackBerry yako ni model gani?

Si unajua tena zipo za model tofauti kama bold, storm, curve, pearl, 8100, 8310, 820,830 n.k

Sasa ulio nayo ni ipi?
 
Ni 8310 mkuu. Nisaidie

Sasa kama nilikuelewa ni kwamba ulikuwa ukitumia hio Yahoo messenger kabla haijaleta matatizo.

Kwahio unaweza kujaribu kuitoa hio software halafu ui-install tena kupitia computer yako.

Kui-install tena inabidi uende katika link ifuatayo:

Yahoo! mobile services for BlackBerry® smartphones.

Lakini inabidi kwanza ui-istall software iliokuja na hio simu katika computer yako ili kuweza kufanya vitu kama "backup" na "synchronization" kwa kutumia USB cable ambayo itakuwa ilikuja na simu yako.

Ukishindwa hio inabidi utafute mtaalam hapo ulipo afanze hayo.
 
Back
Top Bottom