help ya fellow Tznians plz

Chifu

New Member
Jun 8, 2009
4
0
comrades
mmeona news ya leo usiku channel 10?
kuna mtanzania mwenzangu alingolewa jino na unprofessional mwenzetu
ambaye ni m tz miezi mingi iliyopita, kilichotokea ndugu amevumilia pain
kwa kipindi kirefu sasa hivi anatoka PUS sehemu ya juu karibu na jicho
okay my request to my bro & sis jaman hebu fanyeni badiliko
mteteeni kijana huyu mimi naona ni negligence ya mtu aliye mngoa jino
jaribuni kufika chini sio dealing only na cases zinazo ashiria ankara
case kama hizi zitawatengenezea majina i mean uzoefu na confidence
hizi ndio za kuanza nazo
 
Back
Top Bottom