help with my digital camera

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,711
4,642
camera yangu digitali imekuwa inashindwa kufunguka kila nikiiwasha zoom inazunguka inafika nusu inarudi halafu inazimika,msaada tafadhal,natanguliza shukran
 
Linaweza kuwa tatizo la virus kwenye memory ya kemera, jaribu kuiunganisha na kompyuta kisha uiscan, ikishindikana peleka kwa fundi.
 
Hiyo itakuwa ilidondoka,sasa kuna vitu vingi sana vyakufanya moja washa zima towabetri kisha weka,pili inabidi uwe makini kwani inawezekana ilidondoka kwenye mchanga sasa kuna viji michanga viliingia inahitaji kusafishwa kwa makini,kama ndio utakuwa ulisha jaribu sana washa zima michanga inaweza ikawaishachubua zilenjia mule ndani ndio basi tena utaliwa pesa tu bora ununue nyingine na kama ina guarantee ipeleke ulipo nunua.Pole sana.
 
Camera yangu mimi ndg zangu inakula sana betry, nikiweka huwezi piga zaidi ya picha 10, inakupa ujumbe ya low betry. Betry nonazotumia ni za maisha marefu baada ya kuona za kucharge hazidumu, nikadhani charger mbovu kumbe siyo.

Naombeni msaada wa ushauri pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom