Help Wanted

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
funny_0023.jpg
 
hahahah nimecheka hio ya kwanza,ila sijaelewa hio ya pili ni nini hiko kibao???ni kile cha risasi au?:embarrassed:
 
hahahah nimecheka hio ya kwanza,ila sijaelewa hio ya pili ni nini hiko kibao???ni kile cha risasi au?:embarrassed:
.
Unajua Jestina hiyo ya pili ina maana jamaa kazi yake ni kuwashikia kibao walenga shabaha! ... sasa ina maana maisha yake yapo hatarini kila dakika ... mfano anaelenga akikosea ina maana anapigwa risasi yeye alieshika kibao. Hivyo lazima asali sana kila mlenga shabaha anapokuja ili asipigwe yeye!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom