Help (ushauri)

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Jaman nina mpenzi wangu ambaye tunaishi mbali naye me niko mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine tuliachana miaka minne iliyopta baada ya kucheza mechi za utotoni bila kujari kinga na kumasababishia ujauzito, uliperekea ajifungue mtoto wa kiume, Mwanzo alikuwa ataki hata kunisikia lakini jinsi siku zilivyoluwa zikienda akawa anapunguza ukali atimaye akanisamehe kwa yote na kukubali kuwa nami tena, Tatizo ni kwamba kama wiki mbili hivi zilizopita alikuwa akinibeep sana siku hiyo, lakini baadae nilipompigia akawa anakata simu, na baadae akanitumia sms kuwa anitaki na kunitukana japo sio matusi ya nguoni ila yalikuwa na kunikejeri, mpaka usiku akawa anaitumia sms za kunisisitiza kuwa anitaki tena, nami kwa upole nikaamua kuacha kumbembeleza na kukaa kimya. Asubuhi ilipofika akanipigia simu kama mara tatu sikupokea lakini, Baadae nikaamua kupokea baada ya kuona anapiga sana simu nilipopokea simu ikawa tofauti akawa anaongea kama awali tulivyokuwa na kuapiza kuwa ayuo tayari kunikosa kwa khali yoyote ile. Je ni Kweli huyu mtu ananipenda au ndo anataka niumiza mana mwenyewe nimemuuliza anasema alikuwa anajiraribu aone nitachukua aumuzi gani. Sasa hivi namuogopa sana mana anaweza nisababishia maumivu makali sana ya Moyo, je nifanyeje wadau I'm in hard time.........
 
Lea mtoto wako ila huyo mupenzi achana nae, kujaribiana gan huko kwa kejeli??? Mwangalie sana huyo asijekuletea visukari na presha!
 
Halafu punguza haraka sijui unawahi wapi........

Umechanganya changanya maneno weeeee ukiongeza na hiyo rangi nyekundu uvivu mtindo mmoja inaumiza macho wengine tushazeeka macho mabovu mno.

Ushauri wangu hatuwezi kuusemea moyo wako wewe kama wampenda endelea naye kama humpendi kamata mwendo........................
 
Kwenye mapenzi kati ya watu wanaopendana kujaribiana na kupimana ni kitu cha kawaida huyo mwenzi nwako alikuwa anataka kujua msimamom wako na kujua ni jinsi gani unampenda ukizingatia ulishawahi kumtosa mwanzoni na kumwachia na kiumbe, cha msingi kama unampenda kweli we endelea naye na mulee kitot chenu ila mwambie siku nyingine asijaribu kurudia kufanya hivyo
 
Jaman nina mpenzi wangu ambaye tunaishi mbali naye me niko mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine tuliachana miaka minne iliyopta baada ya kucheza mechi za utotoni bila kujari kinga na kumasababishia ujauzito, uliperekea ajifungue mtoto wa kiume, Mwanzo alikuwa ataki hata kunisikia lakini jinsi siku zilivyoluwa zikienda akawa anapunguza ukali atimaye akanisamehe kwa yote na kukubali kuwa nami tena, Tatizo ni kwamba kama wiki mbili hivi zilizopita alikuwa akinibeep sana siku hiyo, lakini baadae nilipompigia akawa anakata simu, na baadae akanitumia sms kuwa anitaki na kunitukana japo sio matusi ya nguoni ila yalikuwa na kunikejeri, mpaka usiku akawa anaitumia sms za kunisisitiza kuwa anitaki tena, nami kwa upole nikaamua kuacha kumbembeleza na kukaa kimya. Asubuhi ilipofika akanipigia simu kama mara tatu sikupokea lakini, Baadae nikaamua kupokea baada ya kuona anapiga sana simu nilipopokea simu ikawa tofauti akawa anaongea kama awali tulivyokuwa na kuapiza kuwa ayuo tayari kunikosa kwa khali yoyote ile. Je ni Kweli huyu mtu ananipenda au ndo anataka niumiza mana mwenyewe nimemuuliza anasema alikuwa anajiraribu aone nitachukua aumuzi gani. Sasa hivi namuogopa sana mana anaweza nisababishia maumivu makali sana ya Moyo, je nifanyeje wadau I'm in hard time.........

Huyo dada anakupenda mno ila tu haelewi jinsi gani ya kukuteka. Alipo kukejeri alikua anatingisha kibiriti kuaona ni namna gani uta respond, sometimes guys inatakiwa mnakua straight foward walau hata mdada aelewe nini unafikirikia juu yake. kama kweli unampenda alipokua anafanya hayo mambo ya kitoto ilitakiwa um text na umwambie moja kwa moja kua unataka kua nae na unampenda na kua anapoleta hio atittude hupendi na asirudie tena. Mkileta mzaha wa kushindana mnaweza ishia kuachana na hali mnapendana then unaenda kujichomeka kwa bi shosti ataketaka uwe superman na urudishe siku zilikotoka. Alipoona kua nawe umekua mkali ndio mana akajishusha mana aligundua kua kachemka. But i believe anakupenda.
 
Halafu punguza haraka sijui unawahi wapi........

Umechanganya changanya maneno weeeee ukiongeza na hiyo rangi nyekundu uvivu mtindo mmoja inaumiza macho wengine tushazeeka macho mabovu mno.

Ushauri wangu hatuwezi kuusemea moyo wako wewe kama wampenda endelea naye kama humpendi kamata mwendo........................

By the way hio rangi nyekundu kweli toa hata mm imeniumiza macho.
 
...anatingisha kibiriti?

"mwana umleavyo,...!" hata huko mbele ya safari maisha yatakuwa haya haya,
ni mkeo lakini kuna siku atakuwa anaku 'beep' na kukata mawasiliano, matusi na kesho
yake anajifanya hamnazo...eti alikuwa anakujaribu tu!

"Akili kumkichwe!" kila mtu na midadi yake. Kama unavutiwa na style hiyo ya mapenzi safari njema!
 
action speaks louder than words.
my dear kwa nini usimfuate mkae
chini muuongee na kujadiliana kwa
kirefu na kina zaidi haya mambo ya
simu mara nyingi ni uzushi tu lakini
ukiwa hapo unaangalia body language yake ect
ina saidia sana.. my dear u need to take serious action
if u want to be a good dady .... Steep up don't be afraid..

have a nice day
 
siamini kuwa katika hili jambo utafuata chochote utakachoambiwa hapa, labda uliandika katika kuupoza moyo konde!

Pole sana, ni vigumu kujua kama anakupima au la! maana hakuna "Standard test" kila mtu ana yake, ila sasa huyu mmeachana siku nyingi sana lazima katikati hapo wewe au yeye kuna mmoja aliwai kujikwaa sehemu na kuanguka. Ingawa kuna kujifunza kutokana na makosa lakini kuwa makini tafuta ukweli hasa kwa watu wako wa karibu huko halipo Mzazi mwenza, pima na tafakari ukweli utakaupata au waweza kuuongeza katika hii thread yako ili watu wapate mapana ya jambo hili katika kukushauri.

Maana hapa unatafuta ushauri wakati hujapata ukweli wowote ambao ndio ungekuwa msingi wa ushauri husika.

Mimi sina ushauri!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom