HELP- TCU : voucher doesn't exist

elank54

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
479
21
Wakuu nimejarib kuregister TCU, kila wakati inaniambia Voucher doesn't exist na nimenunua jana NBC bank na kuiscratch bila tatizo !! Naomba msaada mwenye idea tatizo ni nini...
 
Mkuu itakua bado haijawa activated !! Bila shaka vocha ako ni ile iloandikwa elf 50 .. Itakubali tu after few days if nt tym mana mi nlikaa ka cku 4 ikakubali !!
 
wana jf naomba msaada. nimeipoteza password yangu ya kuingia kwenye account yangu TCU hivyo siwezi ku access selections zangu. lile neno "forgot your password" pale kwenye ku log in liko inactive. simu zao hazipokelewi wala email hawazijibu. msaada plse namnaya kupata password nyingine
 
Back
Top Bottom