Help please in these payroll deductions!

Wadau msaada!
Mtu/employee anaweza kukatwa mchango wa nssf,tucta,tughe wakati yeye sio member?ndo kwanza kaanza kazi na hajawahi kuomba membership ktk izo institutions?

Umeajiriwa sehemu gani? Shirika au mtu binafsi? Maelezo yako hayajitoshelezi.... TUCTA unaijuaje? Hiki sio chama ila ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi
 
Mfaano ameajiriwa ktk shirika inakuwaje? Na kama ameajiriwa ktk private firm?anaweza changia ktk izo security funds, na ivyo vyama vya wafanyakazi?vp km ndo kaajiriwa serikalini na sio memba wa pspf.lapf,gepf atakatwa izo contributions?thanks ndugu,cmz u knw alot!
 
Deductions za pension ni automatic kulingana na sheria ya kazi.vyama vya wafanyakazi, ukiingia sekta fulani tayari ni mwanachama ingawa baadhi ya waajiri huwa kimakosa wanauliza.sheria zinacheza na slip yako.tutatokea wapi mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom