help on web based applications

Eliah

Member
Jun 8, 2009
32
0
Guyz i ask for help,currently am developing a web based application that uses PHP and mysql, i have put a link in my home page that directs to that application now the problem is hii application itawezaje kuwork ikiwa inatumia mysql as backend je hawa wanaohost watanitunzia na hiyo database yangu ya mysql ili iweze kuwa accessible through internet. afu i have a bit failed to find good word to tell my problem lakini kama umenielewa nisaidie tafadhari.
 
Utakapo nunua hosting services, changua itakayowekwa kwenye server aina ya linux. Hapo utakuwa na uhakika wa kuwa na php na MySQL. Ukisha-register, utapata fursa ya ku-manage account yako, ambapo utaweza kuongeza scripts za php kwenye domain yako na pia kui-manage hiyo database. Ambapo uta-add database name, na login details unazohitaji na ku-process hiyo database ipasavyo (upload data etc) ipasavyo.
Kumbuka, hosting sites nyingine huwa limited kidogo na php scripts ambazo unaruhusiwa kutumia for security reasons.

All the best.
kotinkarwak
 
Guyz i ask for help,currently am developing a web based application that uses PHP and mysql, i have put a link in my home page that directs to that application now the problem is hii application itawezaje kuwork ikiwa inatumia mysql as backend je hawa wanaohost watanitunzia na hiyo database yangu ya mysql ili iweze kuwa accessible through internet. afu i have a bit failed to find good word to tell my problem lakini kama umenielewa nisaidie tafadhari.

Kwanza nikupatie hongera kwa bidii yako katika online app development.

Muhimu kama Mkuu kotinkarwak anavyosema ni support ya hosting wako kwa php na mysql. But again hili unaweza usihofu sana, maana karibia hostings services zote zina support php and mysql. It's a standard kwa kweli. Ila difference inaweza kuwepo kwenye level ya manipulation wanayopata. Ukiwa kwenye shared hosting, mara nyingi level ya kuweza kuweka standalone apps huondolewa kwa ajili ya kupunguza server load na kumaintain security. Ila kwenye dedicated hosting na virtual servers hili jambo ni rahisi zaidi. Sasa itategemea na level ya hosting uliyo nayo na ni kwa kiasi gani wanakuruhusu kumanipulate scripts na kuinstall third part via php Zend framework au nyinginezo zile.

Yaonekana hapo una account mbili za hosting, yaani moja ni ile ambako umeinstall hiyo app yako na nyingine kule ambako front line page yako iko. Hata kama ipo kwenye hiyohiyo hosting, basi as long as scripts zako zinaruhusiwa kurun kwenye server, the rest is containerisation ya script ndani ya html kwenye hiyo website yako kwa kuipatia link, au kuiwekea dedicated table, embed tag, au kui-frame.

Good luck!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom