Help on how to know balance with zain 400mb

Kuna tatizo kwenye server, pia kuna tetesi kuwa watanzania waliokuwa wanafanya hizo kazi waliondolewa na nafasi zao kuchukuliwa na Wakenya, ambao wameshindwa, ndiyo maana kwa week ya pili sasa huduma nyingi ni kama zimesimama.
 
Back
Top Bottom