Help:NIkiingia CAS inaniambia ths site is hacked

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
685
173
Leo asubuhi nikitaka kuingia kwenye cas ilinijirijesta inaniambia ths site is hacked ni tatizo langu tu au ni kote jamani!...msaada wakuu
 
Hata mimi nimekumbuna na kero hiyo leo asubuhi.Kwa kifupi hii system ni mbovu na ni usumbufu mkubwa na kinachouzi wahusika wamekaa kimya tu kama hakuna tatizo lolote.Imefika wakati watoe tamko au ufafanuzi kwani hata ikifunguka wakati mwingine bado inasumbua.Yaani ina matatizo mengi na inaweza kuja kuathiri baadhi ya watu wasipochukua hatua mapema kabla muda haujaisha.
 
nimeshindwa kijirejista tcu kupitia cas kila nikijaribu naambiwa voucher does not exist wanabodi nisaidieni ni tatizo la kwangu peke yangu au ni wote/
 
Jamani mimi nilijiregister siku nyingi! Nani amefanya registration leo atuambie kama amepata tatzo kama hlo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom