Wide_awake
Member
- Aug 28, 2011
- 54
- 40
wakuu natumia simu ya Mi-A300 ina OS ya android v.2.2 (froyo) tafadhali kwa yeyote anayefahamu kama naweza kui'upgrade kwa android version ya juu zaidi hata at least v.2.2.1 naomba anisaidie.. pia kwa mawazo tofauti, ushauri au maoni....