HELP NEEDED: Developing a information system database

Jan 16, 2012
7
5
Guys naombeni msaada wenu wakutegeneza hii kitu pm me for more details... I need experts on this.. and you will be handsomely paid likifanikishwa....
 
Vipi, anonymous, hapo nyuma uliweka kitu kuhusu hack ya database uliyoifanya ya TIGO, nilidhani kuwa, utakuwa unayaelewa mambo ya kuitengeneza database ndio ujanja wa ku'hack uwe nao... Au muda hauna kwani upo busy ku'hack kazi za watu?:lol:
 
Refer to the heading.. nina hitaji msaada sijasema sifahamu kutegeneza na ata hivyo haujafaham ni database inahusu nini au ni ya aina gani mpaka nikaomba msaada.. na ata hivyo ili ni swala muhimu sio kama hilo la utani lilopita
 
Mkuu
Ukiseisema developing a database una maana gani ?
  • Is a database already designed yaani details za tables, data type, relationships,PK and FK et c tayar unazo?
  • Au unataka developer akutengenezee logical database modal wewe mwenyewe utakamilisha na implimentation
Nadhani ungespecify requerement zako zaidi kabla hatujaaanza kuku pm. Na ukiweka hapa una nafasi nzuri ya upat mawazo mengi zaidi
 
Nani kasema utani?
Au hutaki ile thread nyingine iambatanishwe kwenye ombi lako? Wewe umejizatiti kuwa hacker, kwa hivyo ninatoa tahadhari kwa yule atakaye 'kusaidia' kuitengeneza hii database ajue wewe ni mtu wa aina gani, isijekuwa unataka kuutumia ujuzi wake ulio halali kufanya mambo ya wizi! na kumuingiza gizani...
 
Ok ni kwamba making a database from scratch ujuzi nilikuwa nao sio mkubwa na nimepata iyo kazi ndo maana nimekuja kuileta apa jamvni so if your intrested let me know by pm me and i will give you all the details
 
how much will you pay? PM me details kama inalipa nitajitupa
 
Nani kasema utani?
Au hutaki ile thread nyingine iambatanishwe kwenye ombi lako? Wewe umejizatiti kuwa hacker, kwa hivyo ninatoa tahadhari kwa yule atakaye 'kusaidia' kuitengeneza hii database ajue wewe ni mtu wa aina gani, isijekuwa unataka kuutumia ujuzi wake ulio halali kufanya mambo ya wizi! na kumuingiza gizani...

May be ask da anonymus hacker what is referencial integrity and how can the concept help in hacking and database development
 
sasa unaomba msaada halafu unaingia mitini. JF is funny!
 
Back
Top Bottom