Help:Nabadilishaje jina langu la Jamii forums?

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
I think,for reasons known better to me,it is high time i changed my username herein..naweka jina langu halisi kabisa from now on!

Sa tatizo sijui how to go about it,mwenye kujua please..
 
Tuma PM kwa Invisible inayoeleza kusudio lako hilo, na uweke na jina jipya unalokusudua kujiita.
Utasaidika mara moja!
 
Kwa kuwa umeamua hivi kwa roho safi, ningependa kuona ukitutambulisha rasmi kuwa aliyekuwa akiitwa learned, ​sasa anaitwa .................

Msiwe na wasi wasi ntafnya hivo asap!
 
Invisible mwenyewe hajajibu mpaka sasa..i‘ve tried logging out and then log in using the proposed username-all in vain!
 
Usipate shida ya kuandika neno thanks, we bonyeza kidude cha LIKE pale kulia, ITANITOSHA!

Samahani mkuu,hv faida za kugongewa likes ni nini? Sijui kabisa mie mara nyingi nipo kwa simu,sijui hata kwa sasa nina post ngapi huku nilipo nalima mitandao mingi(3G/CDMA) haishiki natumia GPRS/EGDE tu,kimodem akifanyi kazi.
 
Invisible mwenyewe hajajibu mpaka sasa..i‘ve tried logging out and then log in using the proposed username-all in vain!

hahahahahaaaa....!!! atakuwa kalala labda. nakuhakikishia hadi kesho saa nne atakuwa kashabadirisha.
 
hahahahahaaaa....!!! atakuwa kalala labda. nakuhakikishia hadi kesho saa nne atakuwa kashabadirisha.

Nlivo na hamu ya kubadili jina yani nakesha kabisa nasubiri..kuna masuala mengine hayawezekani ila kwa kufunga na kuomba na kukesha..
 
Samahani mkuu,hv faida za kugongewa likes ni nini? Sijui kabisa mie mara nyingi nipo kwa simu,sijui hata kwa sasa nina post ngapi huku nilipo nalima mitandao mingi(3G/CDMA) haishiki natumia GPRS/EGDE tu,kimodem akifanyi kazi.

Hizo ni akiba ya uzeeni, zikiwa nyingi na ukizidai, unatumiwa bahasha ya akiba yako ya likes zote, unawarithisha wajukuu zako na wao wanaziendeleza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom