HELP: My phone's built-in-browser doesn't work!

The_Emperor

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
871
125
Jamani naomba msaada,built-in-browser ya phone yangu haioperate tena na ni baada ya huhack internet ya zantel na kutumia kwa muda wa 2weeks,na nilidownload zaidi ya 1GB pamoja na browsing kwa kwenda mbele.Je,tatizo linaweza kuwa nini mpaka ilete tatizo hili?
 
Jaribu hii *#7370# Ila hakikisha kwanza umefanya backup kwenye memory card contact zako ambazo umesave kwenye simu.
 
Ni sahii kabisa unaformat simu. hilo tatizo la browser utakuwa umeliondoa sababu kilichopelekea isifanye kazi hakijulikani. Hivyo ufumbuzi ni kuformat. huo ndio uzuri wa Symbian OS
 
Ni sahii kabisa unaformat simu. hilo tatizo la browser utakuwa umeliondoa sababu kilichopelekea isifanye kazi hakijulikani. Hivyo ufumbuzi ni kuformat. huo ndio uzuri wa Symbian OS
Yangu nilifomat ila settings za built-in-browser zote zilifutika na pia hata nikiset zinakataa..... simu yangu imekuwa very boring.... help please,,,
 
Back
Top Bottom