help me

cathreen

Member
Apr 23, 2011
28
1
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
 
voda inaboa bana iko very slow ,kuna jukwaa moja la mambo haya

Mhmhm bibie sasa tuelekeze na sisi basi na kama unajua hilo jukwaa, maana wahanga na hii kitu tupo wengi!

By the way vipi bibie hujambo?? hulali hadi mida hii???
 
mmh sasa teli? wengine tupo vijijini sasa tel haikamati mbaka upande juu ya mlima kama sio juu ya mti
E bwana ee wewe hujui kuna sasatel ukiweka bundle la 40 unaweza tumia hata mwezi mzima au miwili kabisa nzuri sana
 
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran

Cathreen mbona mm natumia voda taarifu zao zimeshuka I believe na iko poa.
 
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
Nenda jukwaa la Tech,Science wameshaelekeza namna ya kuchakachua.
 
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran

pole sana science and tech forum will be of useful to you
 
Back
Top Bottom