Help me with this business question plz

The most correct answer is f (owner's equity...also sometimes known as net worth)...equity means owner's entitlements to the business(i.e capital less all liabilities to the business)... you see when a person starts a business he may finance it either through equity(his own funds=equity financing) or through creditors eg by taking loans or issuing debentures and bonds(debt instruments of long term financing)....this means capital=owner's eqity(incase the owner provide all the financing)...also capital=owner's equity+liabilities(incase the financing comes from both the owner and creditors)....

Capital na investment yote naona ni majibu sahihi. Umetoa wapi hili swali?

Mkuu hapa naona tukiangalia swali vizuri tutaona kabisa bila utata wowote kwamba hapa jibu ni CAPITAL..., naomba tuangalia swali tena keeping in mind kwamba Capital ni Mtaji na Investment ni Uwekezaji.... Hivyo basi....

The money or money worth put in business by the owner is known as:

Utaona kwamba hapa tunaongelea ile pesa au kitu ambacho kimewekwa kwenye hio biashara (sio process ya kuweka hiyo pesa bali kile kitu kilichowekwa) kwahiyo mkuu nikiweka tshs 100/= yangu kwenye biashara yangu ya nyanya ile tshs 100/= ni mtaji (capital) lakini process ya mimi kuweka hiyo pesa ni kuwekeza (investment) na hili swali haliulizi process ya kufanya hilo jambo bali ni kile kilochowekwa kinaitwa nini..?

Kwahiyo mkuu hata mimi mwanzo nilicomplicate swali wala bila kulisoma vizuri lakini ukilisoma kwa makini jibu lipo wazi kabisa na halina utata

Mimi siyo mwalimu by profession lakini to my kids I am. Nilipokuwa najadili nao kuhusu mtihani huu specifically I can up with a tip baada ya kuona how easy it is kuchanganyikiwa when dealing with multiple choice questions.

My tip goes like this: Start with reading the terms/concept/words you are suppose to match, try contemplate/recall what you understand (all that you know about) the term/concept or word. Do this up to the last one then read the sentence/description column and match them as you go. Sometimes you read and even before going to the concept column you already know what to look for.

I have tried this and to me it works, I would appreciate your feed back for those who will happen to try it.

The advantage is you make use your memory before been confused by the closely related terms (which is what the examiner wants)

The instructions given to the students, it read "For each of the following items write correct answer in the box provided"

Nashukuru mkuu(voiceof reason) umenifungua zaidi- mimi nilipokutana nalo nikaona linachanganya na hivyo linasifa ya kujadiliwa na great thinkers. niliona halikuwa fair question kwa form 2- bk paper

Yaani elimu yetu TZ taabu tupu!

Walimu wamekaririshwa, wanafunzi wanakaririshwa hapa hatuchomoki!

Kwa taarifa yako kama ulivyouliza swali, hapo hakuna jibu lake sahihi. Lakini kwa vile mwalimu mwenyewe amakaririshwa aliyeweka Capital atakuwa alipewa vema. Jibu sahihi lilikuwa Owner's Equity. Hii ni pesa ambayo mwenye biashara mwenyewe atakuwa anaidai biashara. Na katika kukokotoa balance sheet lazima ionekane kwenye current au short term liabilities. Liabilities ni madeni yote ambayo biashara inadaiwa ndiyo maana hata hiyo tunayoita Owner's Equity imo kwenye kundi la madeni.

Pia lazima ujue kwamba biashara haina undugu na mwenye biashara, ndiyo maana unapoweka Mtaji (Capital) ambao umeuhalalisha kuwa ni kwa ajili ya hiyo biashara moja kwa moja unamilikiwa na hiyo biashara (Mtaji huo unatoka kwenye milki yako), wewe utakuja kunufaika pale mtaji huo utakapotengeneza faida, lakini hutaugusa mtaji. Lakini pale utakapochukua fedha mfukoni mwako ukanunua bidhaa kuongezea kwenye ule mtaji msingi wa biashara bila kutarajia, hiyo fedha utakuja ichomoa wakati wowote (maana utakuwa umeikopesha hiyo biashara).

Kwa hiyo majibu uliyoweka hapo juu kwa ajili ya kuchagua ulikuwa umechemka, au kama ni mwalimu wako alikuwa amechemka. Ila kwa kiwango cha Form II ambao bado wanakaririshwa wangejijibia tu na kuchukua marks zao!

Wabongo kwenye thoery hatushikiki. Inapokuja sasa kwenye kufanya mambo halisi ndo tunaushangaza ulimwengu! hatuna majibu kwa mgao wa umeme wala foleni mijini. Hatujui chochote kuhusu dawa ya mfumuko wa bei wala ukosefu wa ajira. Achilia mbali masuala ya ujumla kama uwekezaji wenye tija( kwa taifa) na mpango thabit ya kuondokana na umaskini.

Yaani elimu yetu TZ taabu tupu!

Walimu wamekaririshwa, wanafunzi wanakaririshwa hapa hatuchomoki!

Kwa taarifa yako kama ulivyouliza swali, hapo hakuna jibu lake sahihi. Lakini kwa vile mwalimu mwenyewe amakaririshwa aliyeweka Capital atakuwa alipewa vema. Jibu sahihi lilikuwa Owner's Equity. Hii ni pesa ambayo mwenye biashara mwenyewe atakuwa anaidai biashara. Na katika kukokotoa balance sheet lazima ionekane kwenye current au short term liabilities. Liabilities ni madeni yote ambayo biashara inadaiwa ndiyo maana hata hiyo tunayoita Owner's Equity imo kwenye kundi la madeni.

Pia lazima ujue kwamba biashara haina undugu na mwenye biashara, ndiyo maana unapoweka Mtaji (Capital) ambao umeuhalalisha kuwa ni kwa ajili ya hiyo biashara moja kwa moja unamilikiwa na hiyo biashara (Mtaji huo unatoka kwenye milki yako), wewe utakuja kunufaika pale mtaji huo utakapotengeneza faida, lakini hutaugusa mtaji. Lakini pale utakapochukua fedha mfukoni mwako ukanunua bidhaa kuongezea kwenye ule mtaji msingi wa biashara bila kutarajia, hiyo fedha utakuja ichomoa wakati wowote (maana utakuwa umeikopesha hiyo biashara).

Kwa hiyo majibu uliyoweka hapo juu kwa ajili ya kuchagua ulikuwa umechemka, au kama ni mwalimu wako alikuwa amechemka. Ila kwa kiwango cha Form II ambao bado wanakaririshwa wangejijibia tu na kuchukua marks zao!

capital inainclude owner's equity na other sources zilizofinance b'ness mfano loans.
Kupata owner's equity tunachukua assets minus liabilities ambapo ni the same way for getting capital (assets=capital+liabilities)
Endapo owner amefinance mwenyewe biashara yake bila kutegemea mikopo kutoka nje tunasema kwamba assets=capital. Hiyo owner's equity is often named as capital au net worth because of the reason above. B'ness na owner ni vitu viwili tofauti kwa hiyo owner ni lazima alipwe na business kama ambavyo umeelezea.
Kusema kwamba hakuna jibu u are totally wrong ila kutokana na swali lilivyo na owner's equity lingekuwepo basi hilo lingekuwa jibu sahihi zaidi. Ila jaribu kureason na kufikiria zaidi kwanini capital huitwa owner's equity ingawa jibu nishakupa hapo.

Similar Discussions

Back
Top Bottom