Help me with this business question plz

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Qn: The money or money worth put in business by the owner is known as:

a. Assets
b. business
c. capital
d. Investment
 
Nashukuru wakuu: Ila kwa nini hakuna jibu naomba utfafanulie na pia Rich dad kwani Owners equity na Capital vinatofauti gani?
 
inategemea kama swali ni trick question au unataka jibu la kwenye paper...,

kama shida yako ni kuelewa na kimtaani mtaani basi inategemea na scenario na majibu yote yanaweza yakawa correct......(lakini ambayo yapo karibu sana na jibu ni Capital na process yenyewe ya kufanya hivyo ni investment

Akiweka vitu kwenye biashara ili kuanzishia au kuendeshea biashara yake kama nyumba, magari n.k. (baada ya muda hizo zitakuwa ni assets zake kwenye hio biashara)

Akiunganisha biashara yake nyingine kwenye biashara nyingine au kuanzisha biashara nyingine (au kuombea mkopo kama collateral au merge ya business mbili.... au kama yeye kazi yake ni kuanzisha biashara na kuzifanya profitable na kuziuza (basi hiyo itakuwa ni Business yake)

Vile vitu vyote alivyotumia kuanzisha hii biashara pamoja ni hio money injetion aliyoweka ni Capital

Process ya kuweka hizo pesa kwenye biashara ili baadae aje apate faida ni Investment


Therefore I can argue successfully kwamba jamaa alichofanya ni:- Investment pia kwamba alichokiweka ni Capital although pia naweza nikajitahidi kusema alichofanya kulinganisha na ambavyo huwa anafanya na ni mara ngapi kwamba hii ni Business Ingawa hii process haiwezi kuitwa Assets lakini naweza nika-argue anachokiweka hapo kama kwenye hii biashara ni Assets (mfano kama mimi mwenyewe talent yangu ni ya hali ya juu basi takuwa ni Asset kwa hiyo biashara)
 
Nashukuru mkuu(voiceof reason) umenifungua zaidi- mimi nilipokutana nalo nikaona linachanganya na hivyo linasifa ya kujadiliwa na great thinkers. niliona halikuwa fair question kwa form 2- bk paper
 
Nashukuru mkuu(voiceof reason) umenifungua zaidi- mimi nilipokutana nalo nikaona linachanganya na hivyo linasifa ya kujadiliwa na great thinkers. niliona halikuwa fair question kwa form 2- bk paper

Kama sio multiple choice question yaani inahitaji kujieleza basi andika explanation kuanzia definition ya kila neno ni nini na ni kwa jinsi gani hicho kitu kinaweza kikawa any of the above..., na kwa jinsi ipi the accurate definition inabidi iwe sababu ukitoa definition ya kila neno utaona ni vipi inakaribiana maana au ni wide of the mark.
 
Actually lilikuwa la multiple choice na nikapata kidogo utata kumridhisha kijana wangu kuwa ni capital na siyo investment- hakukuwa na room ya kuelezea. ningependa hili liwekwe upande wa kujieleaza ili kupima uelewa wa mwanafnzi juu ya concept zote hizi'
 
Actually lilikuwa la multiple choice na nikapata kidogo utata kumridhisha kijana wangu kuwa ni capital na siyo investment- hakukuwa na room ya kuelezea. ningependa hili liwekwe upande wa kujieleaza ili kupima uelewa wa mwanafnzi juu ya concept zote hizi'

Okay kama ni hivyo inategemea sababu capital ni mtaji (hivyo basi kama hii ni new business ndio ameanza basi hio pesa atakayoweka itakuwa ni mtaji yaani capital) kwahiyo sababu investment ni process hapa jibu litakuwa capital... (yaani zile pesa anazoweka na sio ile process ya kuzalisha)

Kwahiyo mkuu mwambia kijana wako jibu ni CAPITAL na kama swali lingekuwa process ya kufanya hicho kitu basi jibu ndio lingekuwa Investment

Kwahiyo kwa hapa jibu ni CAPITAL sababu swali ni multiple choice na Capital ndio inafaa zaidi (Mtaji)
 
owner`s equity mara nyingi ni jina kwa ajili ya capital za kampuni kwa kuwa huwa waissue share ila sole proprietor and partnership inaitwa capital na kwa kampuni pia itaitwa capital in addition to the owner`s equity, (that is, capital =owner`s equity)
 
Capital na investment yote naona ni majibu sahihi. Umetoa wapi hili swali?
 
asanteni kwa michango mizuri nimeelimika
qinp1.jpg

qinp2.jpg

qinp3.jpg
 
Kwa wale ambao wangependa kujua nimelipata wapi - Ni swali la National Form II exam 2010(Book keeping) part of section A
 
Nipo sure kuwa kwenye instruction waliambiwa choose the most correct answers kwa nionavyo mimi jibu ni Capital as the most correct although kwenye double entry una dr hiyo cash kawaida na ni current asset kwenye b.Sheet na hiyo money worth pia itakuwa current asset bt lazima uibalance na utaicredit kwenye capital.Bt mjue kuwa hii hela ni from the owner directly ingekuwa hajaspecify tungesema ni asset tu cuz hata busness inagerate cash..Na argue sio investment cuz by defn ni expenditure for future benefits so money or any asset ikiwa idle sio investment
Capital is a residual amount between assets and liabilities n is contributed by owners of the business.
Wakuu hii imenikumbusha chuo kuna mwl alitufundisha masuala ya FDIs akatupa test ya multiple choice afu usimamizi ukawa tight watu hali ikawa mbaya kweli multiple choices inapima uelewa kama unafanya mwenyewe hucopy na kupaste bt mambo ya kuelezea watu wanakuwa tu wamezaji!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom