Help Me Recover Memory Card Password..

dah,,hizo nokia 5130 ni Symbian S40, ingekuwa umeweka kwenye simu yoyote ya S60 ingekuwa rahisi kuipata mmcstore kwa kutumia Xplore au file manager,,labda tusubiri wakuu wengine wenye ujuzi labda kuna application ya java itakayokusaidia,,,,

poa poa
 
Mkuu nmejaribu kudownlod xplore kw e seriez wanantel ni sign in wakat hakuna pa kusign up,.me celew nsaidie zaid au iyo software kwa ajil ya cmu kama hii 5130nokia,kama ipo nisaidie mkuu wangu
 
Mkuu nmejarib kwa java ikafunguka vibox box vnamb namba na vsymbol asa celew wat nxt afta that..maana ata akibonyezek na uko iyo nyngne inasema file not supported
 
Back
Top Bottom