Help me please.

Pole Maureen, Wataalam bado wapo kwenye mgomo naona, wish to hear what they will say, lets wait.
 
Anaejua dawa ya kurudisha hedhi, ni takribani miaka miwili dada yangu hajapata hedhi.

Ni vyema kwenda kumwona mtaalamu Wa magonjwa ya kina mama, Gynaecologist. Atachukua historia ikiwa ni pamoja na kujua Kama anatumia njia yoyote ya uzazi Wa mpango, na kumfanyia vipimo
 
Thx, pia hospital amejaribu kwenda tena sehemu mbalimbal na madaktar wote aliojarbu kuwaona wanamwambia ni tatzo la hormone imbalance hvyo atumie dawa za majira miez mitatu, alijarbu kufanya hvyo na kwel alpata siku zake mwez mmoja tu baada ya hapo hakuna tena, ngoja tuendelee kuwaona madaktar km unavotushauri.Thx sana
 
Dawa ya DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI. Kwa Tiba ya Mbadala Mitishamba:

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Kitunguu Saum na maganda yake huteremsha hedhi

Jaribu moja Kati ya hizi Dawa kisha unipe FeedBack.

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.
 
Kukoma hedhi inaweza kuwa dalili ya polysistic ovaries AMA fibroids.
Ni muhimu aende kwa gynae kwa ajili ya vipimo na ushauri
 
Kukoma hedhi inaweza kuwa dalili ya polysistic ovaries AMA fibroids.
Ni muhimu aende kwa gynae kwa ajili ya vipimo na ushauri

fibroids inawork opposite, haisikitishi kupata hedhi. Aonane na doctor, if she is above 40 possible its early menopause. Dawa mbadala zaidi hata asali na tangawizi, hizi huwa sina joto mwilini ha husababisha damu kutoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom